Safi kabisa bila shaka Bocco yupo kwenye kiwango saafi kabisaa leoKumekucha Simba wanaandika bao kupitia kwa John Bocco
DuuuuuuhHapa leo,itaelezwa jaap stam Amri Saidi ni Simba damu...ndo mana Simba anashinda.......
Hii post ume copy kazi yako ku post kila Ukiona thread ya simba unakuja ku pastesimba wanabebwa mpaka aibu!
Kumi na nne 14Hivi boko ana magoli mangapi
watajibebaSimba magoli mepesi haya mmenunua mechi
Hizi sauti zilisikika jangwani
Wamempanga mahiri wa kudaka penati, lakini hadi sasa haijatokea penati ila amesharuhusu mawiliBiashara wapange kipa mahiri wa kudaka mikwaju ya penati!
Hahaha.......hahah....... nyie embu fanyeni uchaguzi huko.....! Mjenge timu yenye ushindani....simba hii ina miss upinzani wa uwanjani umebakia vidomo domoMagoli Ya Offside Refa Anapeta Tu, Hii Simba Inaharibu Soka La Tanzania