Tanzania Premier League 'TPL' Biashara United dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Karume Musoma

Tanzania Premier League 'TPL' Biashara United dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Karume Musoma

Kagereeee la la..golikipa anatokea na kudaka mpira..!
 
45' za kwanza mchezo zimekamilika ambapo Simba SC wanatoka uwanjani wakiongoza kwa bao mbili kwa bila

Biashara United 0-2 Simba SC.
 
Simba magoli mepesi haya mmenunua mechi
Hizi sauti zilisikika jangwani
 
Back
Top Bottom