Tanzania Premier League 'TPL' Biashara United dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Karume Musoma

Tanzania Premier League 'TPL' Biashara United dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Karume Musoma

Natamani sana Mzamiru awe mbadala wa Mkude kwa mechi zote zilizosalia. Mkude akiwepo uwanjani hana hamasa kabisaaaa na pasi zake hazina madhara kwa adui. Lkn mechi zote za Mzamiru pasi zake ndizo magoli yenyewe daily. Mkude abadilike asituleteee Ufazza kama analeta upuuzi amfuate Ajibu wakale Viazi vikavu na maji baridi.
Viva Mnyama Unyamani.
 
70' Niyonzima anaonyeshwa kadi nyekundu baada kutangulia kadi ya njano kwa utovu wa nidhamu
 
71' Mk 14 Maddie Kagere anatoka na anaingia Hassani Dilunga upande wa Simba
 
80' Anatoka Asante Kwasi anaingia Mlipili, upande wa Simba
 
Wakati wowote mpira utakwisha Uwanja wa Karume Mjini Musoma..!
 
Biashara wanapoteza nafasi ya wazi kabisa dakika hizi za mwisho...!
 
Biashara FC ya Jangwani muhimu kwenu ni kuji imarisha kwa kuunda timu yenye ushindani..! Club's Champions league wote imetupa somo zuri sana mwaka huu. Hakuna njia ya mkato, unda timu bora then ingia kupambana. Maneno maneno hayasaidii ila yanatuchelewesha. Simba ni Timu Bora ya msimu
 
90+4' Naaaaaaam Mpira umekwisha uwanja wa Karume mjini Musoma ambapo Simba wameibuka na ushindi wa mabao mawili bila majibu yakiwekwa kimiani na John Bocco 34, 41.

Biashara United 0-2 Simba SC
 
90+4' Naaaaaaam Mpira umekwisha uwanja wa Karume mjini Musoma ambapo Simba wameibuka na ushindi wa mabao mawili bila majibu yakiwekwa kimiani na John Bocco.

Biashara United 0-2 Simba SC
Bado mechi ngapi tuwe mechi sawa na Vyura?
 
90+4' Naaaaaaam Mpira umekwisha uwanja wa Karume mjini Musoma ambapo Simba wameibuka na ushindi wa mabao mawili bila majibu yakiwekwa kimiani na John Bocco.

Biashara United 0-2 Simba SC
Tupia na msimamo wa ligi mkuu
 
Back
Top Bottom