Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Nakuona fan1Mnyamaaaaaa
Niko hapa mkuuNakuona fan1
Haujaenda Mkwakwani?Niko hapa mkuu
mfungaji nani?Gooooooooooaaal
mfungaji nani?
Wouzeeer wouzeeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]37' Gooooooooooaaal Goooooooaaal.. MK 14 mfumba Jicho kwa mara nyingine anaipatia Simba bao la pili baada ya kumalizia shuti lililogonga mwamba kutoka kwa Okwi
JKT Tanzania 0-2 Simba SC
Weka namba na wewe tukutie mpesaMpesa imeifanya kazi yake, kama kawaida yenu mikia!
Si utulize nawe si mnashonwa?Mpesa imeifanya kazi yake, kama kawaida yenu mikia!
Wakuu kwanini tusiombe hizi nyuzi kuhusu mechi za simba zote ziunganishwe kwenye ule uzi wetu wa simba special thread!45+2' Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Mkwakwani
JKT Tanzania 0-2 Simba SC
Naaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wako mbele ya mabao mawili bila dhidi ya JKT Tanzania
This is simba bana [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]45+2' Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Mkwakwani
JKT Tanzania 0-2 Simba SC
Naaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wako mbele ya mabao mawili bila dhidi ya JKT Tanzania
Kila la kher jkt. simba anakwenda kuambulia sare kwa Mara nyingine tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeskika mkuu