Tanzania Premier League 'TPL' JKT Tanzania Vs Simba SC Uwanja wa Mkwakwani

Tanzania Premier League 'TPL' JKT Tanzania Vs Simba SC Uwanja wa Mkwakwani

37' Gooooooooooaaal Goooooooaaal.. MK 14 mfumba Jicho kwa mara nyingine anaipatia Simba bao la pili baada ya kumalizia shuti lililogonga mwamba kutoka kwa Okwi

JKT Tanzania 0-2 Simba SC
 
45+2' Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Mkwakwani

JKT Tanzania 0-2 Simba SC

Naaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wako mbele ya mabao mawili bila dhidi ya JKT Tanzania
Wakuu kwanini tusiombe hizi nyuzi kuhusu mechi za simba zote ziunganishwe kwenye ule uzi wetu wa simba special thread!
 
Back
Top Bottom