Hapana Dada.. Nipo Dada ila siku tatu hizi nilibanwa kidogo.Jamani nikajua umetekwa ujue
πππππSanaaa Dada akee achana na kagere
Nataka kufahamishwa bei ya korosho?Hapana Dada.. Nipo Dada ila siku tatu hizi nilibanwa kidogo.
Mzima lakini?
πππππππNataka kufahamishwa bei ya korosho?
We Mtani wewe lol.Kwanza..Kuna waliouza kwa bei ya 3001
Pili..kuna waliogoma mpaka sasa kuunza
Kwa mukhutadha huo hawa ambao wamegoma watakuwa wametoka ngoma sare 1-1 na wanunuzi [emoji3][emoji3]
Samahani Mtani..Nilikuwa namfahamisha bei ya korosho Lunyasi oscarsolomonWe Mtani wewe lol.
Mzima mm hofu kwako tu pole mnoo kwa ulivyobanwa dada akeeHapana Dada.. Nipo Dada ila siku tatu hizi nilibanwa kidogo.
Mzima lakini?
Hahahaaaa. Haya bana usijali Mtani.Samahani Mtani..Nilikuwa namfahamisha bei ya korosho Lunyasi oscarsolomon
Ahsante Dada. πππMzima mm hofu kwako tu pole mnoo kwa ulivyobanwa dada akee
Mmejikaza kiume HajarHahahaaa. Tumejikazaje sasa Mtani?