Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Hivi yale masimu atakua aliyashika ya wachezaji wake et?

kama za wachezaji najua kuna baadhi yao simu zao watachukua kesho leo hii ni ngumu masu bwire atakwake hawezi kulala

Angalizo kama kuna mtu alikua anadaiwa na masau bwire awe makini hasira zinaweza kumuishia
Hahaha.. Mkuu huyu jamaa ana mbwembwe kweli, zile simu zote ni za kwake.. Na hizi nilizo post hapo juu zimekutwa katika kiti alichokua amekaa.. Wasamalia wema waliokaribu nae, waje wachukue simu zandugu yao.
 
Mr Hatrick...[emoji91][emoji91]
sdf_sports___BpfMXOFAnPP___.jpg
IMG-20181028-WA0116.jpg
 
Back
Top Bottom