Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Welcome kitendo cha kuama yanga ume epukana na magonjwa matatuBarcalona inapiga tano tano na mpira inatandaza.
Simba inapiga tano tano na mpira inatandaza.
Kuanzia Leo mimi mpambe wa Yanga fc,
Nahamia Simba SC rasmi.
Nahamia na Barcalona
Nataka raha ya kutandaza kandanda na kufurahia magoli.
Yanga na Real Madrid zipambame tu na hali zao.
Nazifyekelea mbali.
Kwa mala ya kwanza nimebaini kua mashabiki wa yanga wanafuatilia huu uzi[emoji23] [emoji23]Huwa hamkosi kuvunja viti uwanjani....ligi hii bado...Hakuna cha Mo effect wala nini...mambo bado moto...mtakutana na wananchi na ndipo mtasema mengi...
Kabisa mkuu hapa ushindi tu [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Ulikuwa pamoja mwanzo mwisho..safi mkuu sote ni timu ushindi..SimbaNguvuMoja
Itakua freshi kwa upande wetu lakini kwa vyura watakua na wakati mgumu sana wanaweza wakaomba wabadilishiwe ratibaHa ha ha ha..Mkuu una makombora sana, unaonaje TFF watupangie na Gongowazi Oktoba 30..!
Timu ya ruvu ingemuwekea ulinzi maalumu vinginevo wanajinyongaga watu kama waleHahahaha atafika kweli aendako maana zile 5 si mchezo asije akaanguka njiani
Alafu ilitakiwa pale anapoenda bench auchukue kabisa mpira wakeNaomba Okwi apewe mpira wake haraka.
Kweli mkuu ile ni zaidi ya frastresheni [emoji23]Timu ya ruvu ingemuwekea ulinzi maalumu vinginevo wanajinyongaga watu kama wale
Uongozi wa ruvu unaweza ukamfukuza masau bwire kwa uzembe alioufanya ujueKweli mkuu ile ni zaidi ya frastresheni [emoji23]
Ndio ndio mkuu ni mwendo wa [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Naon ni mwendo wa Tano tano tuu
Mkuu hauna picha nyingine ya masau bwire baada ya mpila kuisha?Namna gani hapa Masau Bwire haamini kinachotokea..mpe neno moja kulingana kuchezea Simba Sharubu...SimbaNguvuMojaView attachment 914432
Simba inanipa raha mpaka naboreka yani...Ndio ndio mkuu ni mwendo wa [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]