Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Barcalona inapiga tano tano na mpira inatandaza.
Simba inapiga tano tano na mpira inatandaza.
Kuanzia Leo mimi mpambe wa Yanga fc,
Nahamia Simba SC rasmi.
Nahamia na Barcalona
Nataka raha ya kutandaza kandanda na kufurahia magoli.
Yanga na Real Madrid zipambame tu na hali zao.
Nazifyekelea mbali.
Welcome kitendo cha kuama yanga ume epukana na magonjwa matatu

1.presha
2.kichwa
3.kuzimia
 
Namna gani hapa Masau Bwire haamini kinachotokea..mpe neno moja kulingana kuchezea Simba Sharubu...SimbaNguvuMoja
IMG_20181028_221643_636.jpeg
 
Vyura saivi wanajadili tano za barcelona ya ulaya alafu wanashangaa ni kivipi inakiwango cha kumfunga tano timu pinzani utafikili mambo hayo hayajatokea tanzania tena at the same day
 
Back
Top Bottom