Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tulimpa ushauri mapema hapa Kakayetu Bwire kuwa aongee na uongozi Wa Ruvu asiingize timu uwanjani lakini akahadaliwa na kelele za Vyura!!

Sasa ameona kilichomkuta Masikini Mnyama Kawala Mafirigisi Ruvu ikisha Katambaa zake kwenye Viunga Vya Msimbazi..
 
Mnafikiri yule "kocha"kupaki basi huku akiwa na mshambuliaji mmoja na mabeki 9 alikuwa mjinga???. Aliona gharika kwa mbali.Funguka kwa Simba ukomeshwe. Hivi hii timu ikikaa pamoja mwaka mmoja
watu wataingiza timu kweli????
 
Niliwahi kusema hapa JF kuwa Aussems alifanyiwa Interview na wataalamu wa soka akina Msola pale Serena Hotel na akafaulu falsafa ya Simba

Kwahivyo baadhi ya washabiki walikuwa hawatuelewi..Ni kocha mzuri aisee!
Patrick Aussems anatakiwa atunukiwe PHD ya heshima.. maana si kwa soka hili alilotuletea katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati.
 
Niliwahi kusema hapa JF kuwa Aussems alifanyiwa Interview na wataalamu wa soka akina Msola pale Serena Hotel na akafaulu falsafa ya Simba

Kwahivyo baadhi ya washabiki walikuwa hawatuelewi..Ni kocha mzuri aisee!

Kwa sasa kaeleweka.. Si kwa wachezaji tu, hata kwa mashabiki.

Long live Patrick Aussems.
 
Barcalona inapiga tano tano na mpira inatandaza.
Simba inapiga tano tano na mpira inatandaza.
Kuanzia Leo mimi mpambe wa Yanga fc,
Nahamia Simba SC rasmi.
Nahamia na Barcalona
Nataka raha ya kutandaza kandanda na kufurahia magoli.
Yanga na Real Madrid zipambame tu na hali zao.
Nazifyekelea mbali.
 
Back
Top Bottom