Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 995
SIMBA Wanatisha jamani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.. Unajua kabisa baada ya siku 7 utakutana na wachezaji bora kabisa nchini.. unakosa hamu ya kula.. Unakua mwembamba ghafla.Yule kipa wa Ruvu shooting Mimi nampa offer ya kwenda kupima afya khaa sio kwa wembamba ule...atakuwa na magonjwa nyemerezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuangalia magoli yote yaliyo fungwa na Simba SC kwenye you tube inakuhitaji uwe na mb kuanzia 300 na kuendelea, lakini kuangalia magoli yaliyo fungwa na hii bendi iliyo sajili wakongo kuanzia mwalimu hata ukiwa na mb 1 inatosha
mkuu nasikitik kukikosa kipindi cha pili burudani imenipita, narahani vikali kitendo cha tanesiko kukata umee...ila najua uliendelea kuesabu magoliUlikua timamu na makini sana ndani ya Dk. zote 90.. Ubarikiwe sana Mkuu.
Kuangalia magoli yote yaliyo fungwa na Simba SC kwenye you tube inakuhitaji uwe na mb kuanzia 300 na kuendelea, lakini kuangalia magoli yaliyo fungwa na hii bendi iliyo sajili wakongo kuanzia mwalimu hata ukiwa na mb 1 inatosha
Patrick Aussems anatakiwa atunukiwe PHD ya heshima.. maana si kwa soka hili alilotuletea katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati.Wale waliokuwa wanamtaka Masoud wasema tena niwasikie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji52]
Dah.. Pole sana Mkuu.mkuu nasikitik kukikosa kipindi cha pili burudani imenipita, narahani vikali kitendo cha tanesiko kukata umee...ila najua uliendelea kuesabu magoli
Dah.. Pole sana Mkuu.
Mkuu, kwa mechi ijayo hata akiweka mabeki 10, kipigo kwao hakiepukiki.Mnafikiri yule "kocha"kupaki basi huku akiwa na mshambuliaji mmoja na mabeki 9 alikuwa mjinga???. Aliona gharika kwa mbali.Funguka kwa Simba ukomeshwe. Hivi hii timu ikikaa pamoja mwaka mmoja
watu wataingiza timu kweli????
Patrick Aussems anatakiwa atunukiwe PHD ya heshima.. maana si kwa soka hili alilotuletea katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati.
Niliwahi kusema hapa JF kuwa Aussems alifanyiwa Interview na wataalamu wa soka akina Msola pale Serena Hotel na akafaulu falsafa ya Simba
Kwahivyo baadhi ya washabiki walikuwa hawatuelewi..Ni kocha mzuri aisee!