Naminjano yao hiyo ndomana okwi kapokea mpira huku akiangalia upande mwingineMkuu naona wamesikia ombi lako.
View attachment 914483
Hahaha.. Mkuu huyu jamaa ana mbwembwe kweli, zile simu zote ni za kwake.. Na hizi nilizo post hapo juu zimekutwa katika kiti alichokua amekaa.. Wasamalia wema waliokaribu nae, waje wachukue simu zandugu yao.Hivi yale masimu atakua aliyashika ya wachezaji wake et?
kama za wachezaji najua kuna baadhi yao simu zao watachukua kesho leo hii ni ngumu masu bwire atakwake hawezi kulala
Angalizo kama kuna mtu alikua anadaiwa na masau bwire awe makini hasira zinaweza kumuishia
Bora huko kwenu, sisi huku kwetu Yondani tu akiumia tunaomba TFF wasogeze mechi mbele.Kotei na Nyoni wanarudi mechi ijayo ingawa kutoonekana kwao hakukupunguza vipigo kwa timu pinzani ila wanavyorudi wana hasira kali
Asante kama wamempa mpira wake... Hatutaki matani kwenye mambo ya record kama haya mkuu.Mkuu naona wamesikia ombi lako.
View attachment 914483
Hahaha.. Wape pole Mkuu.Bora huko kwenu, sisi huku kwetu Yondani tu akiumia tunaomba TFF wasogeze mechi mbele.
Kuna wengine huku wanataka Simba ndio wamalizie mechi za kufuzu AFCON ile ya LESOTHO na UGANDA ili Tanzania ifuzu kabisa bila zengwe.Hahahaha vyura wanatamani watandaze kandanda safi kama la MNYAMA lakini uwezo wao mdogo
hahahaha ni hatari mkuuKuna wengine huku wanataka Simba ndio wamalizie mechi za kufuzu AFCON ile ya LESOTHO na UGANDA ili Tanzania ifuzu kabisa bila zengwe.
Acheni jamani soka linapigwa Msimbazi
Wanakwambia FEI TOTO ni fundi wakati huku Simba hata hadhi ya KIBARUA tu hajafikaHahaha.. Wape pole Mkuu.
Soka matata kabisaPatrick Aussems anatakiwa atunukiwe PHD ya heshima.. maana si kwa soka hili alilotuletea katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora huko kwenu, sisi huku kwetu Yondani tu akiumia tunaomba TFF wasogeze mechi mbele.
Leo kuna hat-trick 2 tu duniani.Mr Hatrick...[emoji91][emoji91]View attachment 914501View attachment 914502
Hahaha.. Kwa rank zetu, na pia namba anayocheza, huyu dogo labda anaweza pata namba katika kikosi cha 4.Wanakwambia FEI TOTO ni fundi wakati huku Simba hata hadhi ya KIBARUA tu hajafika
Hahaha.. Kuna watu lazima wasiingize timu uwanjani ili kulinda heshima yao.Huu mfumo gani jamani mechi mbili goli 10 tukiendelea na huu mfumo tutabaki wenyewe ligi kuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha.. Huu mtandao ni hatari.Network statusView attachment 914530
HahahahahaHuu mfumo gani jamani mechi mbili goli 10 tukiendelea na huu mfumo tutabaki wenyewe ligi kuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yahifadhi yatakufaa siku ukikosa network kwenye simu yako