Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Jamani Huyu mtani wetu Hajar kapotelea wapi?
Tumemmiss kiasi hichi!!!!
Tungelifikisha Zile goli 8 tulizozikusudia si angelihama JF..!
Hahahaaa. Nipo jamaani nilimwambia sembo ntakuja asubuhi maana huwa mida ile nakuwa busy na mambo zengine nje ya jf.

😂😂😂😂😂 kama nawaona vile.

Wapi Ghazwat
 
Watani Hajar na Sibonike njooni mchukue simu za msemaji wenu, Masau Bwire.View attachment 914473
😂😂😂😂 yaani leo hatutakunywa maji.

Hongera sana Mtani ila inachekesha kujifananisha na Barcelona aiseee sababu Madrid kiwango chake ni tofauti kabisa na Ruvu Shooting.

Msiifananishe Barcelona na vitimu vya ajabu ajabu Mtani. 😂😂😂😂😂
 
Hahahaaa. Yabidi ukubali tu Mtani sababu najua ikija kufika game na Azam lazima simu yako ikate Network.
1. Azam ni 'ndugu yetu' yule, kifupi tunaelewana
2. Karibia nusu ya kikosi cha kwanza cha sasa cha Simba SC wamekuzwa Azam kwa mda mrefu sana, hivyo wanaijua Azam nje ndani

Sasa kwa mwendo huu network ya simu yangu inapoteaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…