sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hahaha.. Sawa Mkuu.Yahifadhi yatakufaa siku ukikosa network kwenye simu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.. Sawa Mkuu.Yahifadhi yatakufaa siku ukikosa network kwenye simu yako
Wa aleykum Salaam. Hahahaaaa. Ila si kwa raha ulizo nazo Mtani yaani hadi umeniandikia kiarabu lol.
Hahahaaaa. Afadhali umekumbuka Mtani.Hahaha.. Huyu aliaga mapema tu kabla hata mpira haujaanza.. Ila atarudi tu.
😂😂😂😂😂 lolTwabaaan Khamsa Khalas..SimbaNguvuMoja
😂😂😂😂😂 Mna tabu nyieeee.Hahahaha vyura wanatamani watandaze kandanda safi kama la MNYAMA lakini uwezo wao mdogo
😂😂😂😂 yaani leo hatutakunywa maji.
😂😂😂😂😂😂 nimecheka kwa sauti Mtani.Leo kuna hat-trick 2 tu duniani.
Moja ni ya Okwi toka Simba SC, nyingine ni ya Luis Suarez anayechezea timu inayocheza soka kama la Simba SC, Barcelona FC.
Hahaha.. Kama kuna hat-trick nyingine tuambie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti Mtani.
Sema ni katika mechi ulizoziona live banaaaa. Teh teh.
Hahahaaa. Yabidi ukubali tu Mtani sababu najua ikija kufika game na Azam lazima simu yako ikate Network.Hahaha.. Sawa Mkuu.
Nimeona Mtani. Ila usisahahu huwa kuna kibao kugeuka pia.Habari ndivyo kama ulivyoisikia.. Mtu kala mkono jana.. Okwi 3, MK14 1 na Super Sub Salamba 1.
1. Azam ni 'ndugu yetu' yule, kifupi tunaelewanaHahahaaa. Yabidi ukubali tu Mtani sababu najua ikija kufika game na Azam lazima simu yako ikate Network.
Hahaha.. Mtani si kwa Simba ya msimu huu.Nimeona Mtani. Ila usisahahu huwa kuna kibao kugeuka pia.
mnyamAnyie simba leo lazima mshikwe mkia wenu, bungusiro fc
Hahahaaaaa. Lol.Hahaha.. Kama kuna hat-trick nyingine tuambie.
Hahaha.. Mkuu unazungumzia kombe gani hilo? La uji au la chai?hongereni watani zetu mikia aka bungusiro kwa ushindi wa jana, lakini mkae na kutambua kwamba kwa msimu huu MUNGU wakwetu sote lakini kombe ni la YANGA