Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

yaani leo mtabaki mnashangaa kama hivi
 

Attachments

  • IMG-20180218-WA0008.jpg
    26.9 KB · Views: 19
tupo pamoja ruvu shooting nitakuja baadae kuwashangilia.
 
Naona graph ya simba inapanda leo inaweza ikapiga 7-0
 
Mkuu timu kama Alliance na African Lyon hawakua na kelele, tukawapa vipigo vya kuwakaribisha katika ligi kuu.
Stand walichonga kiaina, ndo mana tukawafunga kiaina.. Sasa hawa Ruvu hawa, kitakachowakuta leo hawatakisahau kamwe.
Fifa inaweza ikaishitaki simba kwa kipigo inachotoa maana watahisi labda mess na ronaldo wameingia kwa wizi kwenye kikosi
 
Mkuu, Umemsikia Masau Bwire. Msubiri kupapaswa square.
TPL zimebaki timu mbili ambazo hazipoteza mchezo wowote. Timu nyingine zote ndogo ndogo mnapishana idadi ya mechi za kufungwa.
 
Naona Magoli yanazidi kila mechi nasemaje kuna mtu anapigwa nyingi leo...
 
Kila la kheri Ruvu Shooting, msitishwe na majina wala uzee wao! Fanyeni kama mbao vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…