Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unamaanisha mwana ukome?Ombi langu kwa ndugu wa karibu wa Masau Bwire.. Wawe nae karibu sana baada ya mechi ya leo.. Maana kipigo tunachoenda kuwashushia vijana wake, kitakua na athari kubwa sana kwake.
Kabisa mkuu ni kipigo mpaka wasahau njia ya kurudi kwao [emoji23]Hahaha.. Mkuu leo hakuna sare, Ni Kipigo Tu.
Naona graph ya simba inapanda leo inaweza ikapiga 7-0Mechi 3 za Mwisho za Ruvu Shooting..
Mwadui 0-0 Ruvu Shooting
Kagera Sugar 0-0 Ruvu Shooting
Ruvu Shooting 3-0 Singida United
Mechi 3 za Mwisho za Simba SC..
Simba SC 2-1 African Lyon
Simba SC 3-0 Stand United
Simba SC 5-1 Alliance FC
Kwa hivi vitakwimu kidoogo, Masau Bwire haogopi kweli?? Na saa 1 ifike.
Tunafunga nje ndani yaan mpaka mashushushu wa ruvuyaani leo mtabaki mnashangaa kama hivi
Hahaha... Naaam Mkuu.Mkuu unamaanisha mwana ukome?
Mkuu timu kama Alliance na African Lyon hawakua na kelele, tukawapa vipigo vya kuwakaribisha katika ligi kuu.Naona graph ya simba inapanda leo inaweza ikapiga 7-0
Fifa inaweza ikaishitaki simba kwa kipigo inachotoa maana watahisi labda mess na ronaldo wameingia kwa wizi kwenye kikosiMkuu timu kama Alliance na African Lyon hawakua na kelele, tukawapa vipigo vya kuwakaribisha katika ligi kuu.
Stand walichonga kiaina, ndo mana tukawafunga kiaina.. Sasa hawa Ruvu hawa, kitakachowakuta leo hawatakisahau kamwe.
Hahaha.. Kwahiyo Mkuu unashauri tuiwape kipigo cha mwana ukome??Fifa inaweza ikaishitaki simba kwa kipigo inachotoa maana watahisi labda mess na ronaldo wameingia kwa wizi kwenye kikosi
Mwana ukome ni lazima ili kufunga midomo na iwe fundisho kwa mechi zingineHahaha.. Kwahiyo Mkuu unashauri tuiwape kipigo cha mwana ukome??
Mkuu, Umemsikia Masau Bwire. Msubiri kupapaswa square.Wanasayansi nguli toka vyuo bora kabisa duniani, katika utafiti wao waliokua wakiufanya nchini wamegundua..
"Tanzania kwa sasa, siku ichezapo Simba SC ndo siku ambazo Watanzania wengi huwa wenye furaha na raha isiyo na mfano."
Hofu yangu ni afya za hawa watani zangu Sibonike Hajar kyata guasa Turnkey Amboni Belo Prince Kunta Beira Boy hazard cfc logframe magnifico Super Don Mgagaa na Upwa libeva n.k ambao wataendelea kua watu wasio na furaha kwa miaka mingi ijayo.
Hahaha.. Mkuu nitarejea kwako baada ya ushindi wetu leo.Mkuu, Umemsikia Masau Bwire. Msubiri kupapaswa square.
TPL zimebaki timu mbili ambazo hazipoteza mchezo wowote. Timu nyingine zote ndogo ndogo mnapishana idadi ya mechi za kufungwa.
Naona Magoli yanazidi kila mechi nasemaje kuna mtu anapigwa nyingi leo...Mechi 3 za Mwisho za Ruvu Shooting..
Mwadui 0-0 Ruvu Shooting
Kagera Sugar 0-0 Ruvu Shooting
Ruvu Shooting 3-0 Singida United
Mechi 3 za Mwisho za Simba SC..
Simba SC 2-1 African Lyon
Simba SC 3-0 Stand United
Simba SC 5-1 Alliance FC
Kwa hivi vitakwimu kidoogo, Masau Bwire haogopi kweli?? Na saa 1 ifike.
Kurudi kwako kutategemea network itakuwaje wakati huo. Mpapaso Square =No reachable!Hahaha.. Mkuu nitarejea kwako baada ya ushindi wetu leo.