Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Furaha inakosekanaje sasa Mtani.

Angalia tu mwisho wa siku isije kuwa kinyume chake Mtani.
 
Leo El Clasico....tutaangalia kipndi cha pili
 
Naanzaje kupata burudani Hajar mieee. Mie burudani naipata tukitakata wana wa Jangwani. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sasa burudani ya vipi hiyo kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho roho mkononi yani mtu unaangalia mpira huku unajiuliza "tutashinda kweli kwa mpira huu "[emoji4] [emoji4] [emoji23] [emoji23] lakini huku kwa Mnyama unaangalia mpira huku unasema "kama siyo 6 leo basi kuna tano " SIMBAAAA
 
Hahahaaa. Hivyo leo mnajipa matumaini ya bao sita. Duuuh.

Jipeni moyo tu ila mwisho wa siku msije kutafutana tu maana mpira unachezwa uwanjani na si kwenye maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…