21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Masau bwire alisema leo lazima awapapase simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema ni jambo moja.. Kutenda ni jambo jingine.Masau bwire alisema leo lazima awapapase simba
WachaaaaaMNYAMA mkali tafuna hao maafande [emoji123][emoji123]
😂😂😂😂😂 Furaha inakosekanaje sasa Mtani.Wanasayansi nguli toka vyuo bora kabisa duniani, katika utafiti wao waliokua wakiufanya nchini wamegundua..
"Tanzania kwa sasa, siku ichezapo Simba SC ndo siku ambazo Watanzania wengi huwa wenye furaha na raha isiyo na mfano."
Hofu yangu ni afya za hawa watani zangu Sibonike Hajar kyata guasa Turnkey Amboni Belo Prince Kunta Beira Boy hazard cfc logframe magnifico Super Don Mgagaa na Upwa libeva n.k ambao wataendelea kua watu wasio na furaha kwa miaka mingi ijayo.
Hahaha.. Kwahiyo Mtani Mnyama mkali Simba anavyotakata uwanjani hua unapata burudani pia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Furaha inakosekanaje sasa Mtani.
Angalia tu mwisho wa siku isije kuwa kinyume chake Mtani.
Naanzaje kupata burudani Hajar mieee. Mie burudani naipata tukitakata wana wa Jangwani. 💃💃💃💃Hahaha.. Kwahiyo Mtani Mnyama mkali Simba anavyotakata uwanjani hua unapata burudani pia?
Aisee sasa kuliko kupata presha si utushangilie sisi japo kwa leo tu [emoji12]Hahaaaa. Langu jicho Mtani.
Japo nakaona kadalili ka nyie kishinda. Ila yote kwa yote kila la kheri RUVU SHOOTING
Tpl imebaki timu moja tu inayo pitisha bakuli nyingine zote zinauwezo haziitaji msaada kutoka kwa wananchiMkuu, Umemsikia Masau Bwire. Msubiri kupapaswa square.
TPL zimebaki timu mbili ambazo hazipoteza mchezo wowote. Timu nyingine zote ndogo ndogo mnapishana idadi ya mechi za kufungwa.
Hahahaaa. Hivyo hivyo Mtani bora nipatage presha tu na si kuwashangilia mikia.Aisee sasa kuliko kupata presha si utushangilie sisi japo kwa leo tu [emoji12]
Na kutakata kwenu, ni siku ambayo mkibutua butua sana uwanjani.Naanzaje kupata burudani Hajar mieee. Mie burudani naipata tukitakata wana wa Jangwani. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
😂😂😂😂 Ila mna maneno sana Watani zangu nyieee.Tpl imebaki timu moja tu inayo pitisha bakuli nyingine zote zinauwezo haziitaji msaada kutoka kwa wananchi
Hahahaa. Kikubwa matokeo Mtani hizo nyingine mbwembwe tu.Na kutakata kwenu, ni siku ambayo mkibutua butua sana uwanjani.
Leo El Clasico....tutaangalia kipndi cha piliKutoka 'maktaba'..
Tangu msimu wa 2013/14, Mnyama Mkali Simba SC kakutana na Ruvu Shooting mara 8, ambapo Simba imeshinda michezo saba na wamelazimisha sare moja tu (Kwa kumbukumbu zangu, hii sare ilikua na utata mwingi saaana).
Sasa huyu Ndg. Bwire hii jeuri ya 'kusema sema' juu ya Mnyama, anaitoa wapi?? Au kutumwa huyu na wazee wa kutembeza bakuli??
Tulipanga tumpe kipigo kidogo tu, sasa kwa kua anatumika, tunaenda kumuadhibu yeye na aliyemtuma.
Sasa burudani ya vipi hiyo kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho roho mkononi yani mtu unaangalia mpira huku unajiuliza "tutashinda kweli kwa mpira huu "[emoji4] [emoji4] [emoji23] [emoji23] lakini huku kwa Mnyama unaangalia mpira huku unasema "kama siyo 6 leo basi kuna tano " SIMBAAAANaanzaje kupata burudani Hajar mieee. Mie burudani naipata tukitakata wana wa Jangwani. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
😂😂😂😂 ndio maana nawaona mlivyo wengi saa hizi eeee.Kwa kadri muda unavyo kwenda woteee! woteee! hapa tutaimba wimbo mmoja tu SimbaNguvuMoja, maana soka kama Barcelona..!
Ombi langu kwa ndugu wa karibu wa Masau Bwire.. Wawe nae karibu sana baada ya mechi ya leo.. Maana kipigo tunachoenda kuwashushia vijana wake, kitakua na athari kubwa sana kwake.
Jambo la msingi ni kuomba tu jamaa waweze kurejea uwanjani hicho kipindi cha pili.. Maana kuna hatihati baada ya dk. 45, Ruvu wakagoma kabisa kuingia uwanjani.Leo El Clasico....tutaangalia kipndi cha pili
Hahahaaa. Hivyo leo mnajipa matumaini ya bao sita. Duuuh.Sasa burudani ya vipi hiyo kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho roho mkononi yani mtu unaangalia mpira huku unajiuliza "tutashinda kweli kwa mpira huu "[emoji4] [emoji4] [emoji23] [emoji23] lakini huku kwa Mnyama unaangalia mpira huku unasema "kama siyo 6 leo basi kuna tano " SIMBAAAA