YAPE
Member
- Oct 10, 2018
- 88
- 90
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia Masao Bwire anaongea sana ujue muamala ushafanyika anafurahisha baraza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia Masao Bwire anaongea sana ujue muamala ushafanyika anafurahisha baraza tu
22' Kona kuelekea Ruvu...Kichuyaaaaa
Gooooooaaal
Kama nakuona mkuuHahaha.. Hii ni salamu.. Goli nyingi zinakuja.
Hahaha.. Mkuu naendelea kuhesabu magoli hapa.Kama nakuona mkuu
naungana na wewe mkuuHahaha.. Mkuu naendelea kuhesabu magoli hapa.
Wanasayansi wenyewe ndo akina Haji ManaraWanasayansi nguli toka vyuo bora kabisa duniani, katika utafiti wao waliokua wakiufanya nchini wamegundua..
"Tanzania kwa sasa, siku ichezapo Simba SC ndo siku ambazo Watanzania wengi huwa wenye furaha na raha isiyo na mfano."
Hofu yangu ni afya za hawa watani zangu Sibonike Hajar kyata guasa Turnkey Amboni Belo Prince Kunta Beira Boy hazard cfc logframe magnifico Super Don Mgagaa na Upwa libeva n.k ambao wataendelea kua watu wasio na furaha kwa miaka mingi ijayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanasayansi wenyewe ndo akina Haji Manara
Mkuu.. Unafuatilia lakini burudani?Wanasayansi wenyewe ndo akina Haji Manara
Refa katunyima goli la BocoMk 14 anapiga Shuti Kali iiiiii....golikipa anaokoa