OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Updates makini sana,tupo pamoja21' Joseph Mahundi anapewa kadi ya njano baada ya kumsukuma Clatous Chama
Anaamulu -Anaamuru3' Chama anamchezea rafu Ramadhan Singano refa anaamulu mpira upigwe kwenda lango la Simba
Pamoja sana mdau Snipes49' dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika kutoka uwanja wa Uhuru.
Simba 0-0 Azam
Maneno ya mkosaji, hii ni mechi yetu ya 33Mungu ibariki Azam fc ingawa ni tawi la Simba