Tanzania Premier League (TPL).... Simba SC dhidi ya Azam FC, moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Tanzania Premier League (TPL).... Simba SC dhidi ya Azam FC, moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

29' Bruce Kangwa anapiga krosi ya hatari inamkuta Donald Ngoma anapiga shuti kali linaenda nje inakuwa goal kick.

30' Simba 0-0 Azam
 
38' Simba inapata kona ya tano mpigaji ni Haruna Niyonzima, anapiga krosi ndefu na vijana wa Azam wanaokoa.
 
43' Haruna Niyonzima anapiga shuti kali nje ya boy akipokea pasi nzuri kutoka kwa Erasto Nyoni, kipa wa Azam Razack Abarola anauweka katika himaya yake.
 
45' fourth official ameongeza dakika 2 kutamatisha kipindi cha kwanza

Simba 0-0 Azam
 
47' Simba wanapata kona ya sita, Haruna Niyonzima anachonga krosi ambayo imeokolewa na Bruce Kangwa
 
49' dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika kutoka uwanja wa Uhuru.
Simba 0-0 Azam
 
Hii Mechi ni muhimu tushinde, wenzetu katika ubingwa na umahili wa soka Barca, Man City, PSG na Juventus washatutangulia kumaliza kwa Ubingwa, sie Simba na Genk bado tunapambana!

Naamini tutatoboa
 
46' mpira umeanza kipindi cha pili.
 
Tunahitaji point tisa ili tutangazwe kuwa mabingwa, hawa Azam hamna kitu
 
50' kona ya nane kwa timu ya Simba, Chama anapiga krosi Azam wameokoa.

51' Mabadiliko kwa Azam Ramadhan Singano ametoka, Danny Lyanga ameingia
 
60' kadi ya njano kwa Emmanuel Okwi baada ya kumchezea vibaya Razak Abarola
 
Back
Top Bottom