Tanzania Premier League (TPL).... Simba SC dhidi ya Azam FC, moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Nadhani haya yote ya timu kufungwa yanasababishwa na manala pale aliposema liver akiitoa Barcelona anahamia yanga.
 
Mikia fc bado anazo draw 2 na loss moja na win 2 kwenye game zake zilizobaki, ila atakuwa bingwa kwa kuwa opponent wake keshapotea maxima.
Kumbe tayari una matokeo mfukoni mkuu... Mbona zahera huwa ataki tushinde.
Ebu leta ya yanga kuanzia game ya kesho.
 
Kumbe tayari una matokeo mfukoni mkuu... Mbona zahera huwa ataki tushinde.
Ebu leta ya yanga kuanzia game ya kesho.
Ila mwakani kama ataenda na timu hii, bila kuifanyia any reformation, hakika kazi mtakuwa nayo, tena isiyo ya mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…