Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Zana akakate viuno kwao tu. Hapo utaliona baada ya mechi linakata viuno kama Simba ikishindaZANA kama kuna tiketi ya ndege wampe tu ajikatae mapema GYAN anatosha
Kipindi cha pili kimeanza kwani?Simba 2-0 mtibwa
Bado sita mkuu kama wiki iliyo pita [emoji23]Bado goli mbili
Saaaaaafiiiii sanaaaaaa! Nilikuwa na wasi wasi sana na hii mechi ya leo. Ila tujiandae kisaikolojia tukienda kwao mkuu[emoji28]50' Kipindi cha pili ambapo Simba wapo mbele ya bao mbili.
Mtibwa hawatusumbui hata wakiwa kwaoSaaaaaafiiiii sanaaaaaa! Nilikuwa na wasi wasi sana na hii mechi ya leo. Ila tujiandae kisaikolojia tukienda kwao mkuu[emoji28]
Bado moja😋😋😋Bado goli mbili
Anatosha sana na ni bado Kijana Sana.ZANA kama kuna tiketi ya ndege wampe tu ajikatae mapema GYAN anatosha