Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Mtibwa Sugar, Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Mtibwa Sugar, Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Tayari point tatu tushachukua bado point tano tufunge mahesabu.
 
50' Kipindi cha pili ambapo Simba wapo mbele ya bao mbili.
Saaaaaafiiiii sanaaaaaa! Nilikuwa na wasi wasi sana na hii mechi ya leo. Ila tujiandae kisaikolojia tukienda kwao mkuu[emoji28]
 
62' Simba SC 3-0 Mtibwa Sugar, TPL Uwanja wa Uhuru
 
Back
Top Bottom