Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
11' Goooooooooooooooooaaaaaaaal
Mpaka dk ya 90 magoli 18 kwa interval ya dk. 5 kila goliGooool, dk 10 simba wanaandika bao la pili kupitia kwa Kagere
Mpaka dk ya 90 magoli 18 kwa interval ya dk. 5 kila goli
tunakula kiporo cha korosho
Yap, wasipokuwa makini wataloaMpaka dk ya 90 magoli 18 kwa interval ya dk. 5 kila goli
tayari goli mbili na bado wanataka tenaKinaongeza nguvu za kiumeee
Bado ligi mbichi, hata Makambo anaweza kuwa mfungaji bora.Kagere anabeba Golden Boot!!
Duh hahahapumbavu leo simba mnafungwa, litimu silipendi hili, ningekuwa na bomu ningewarushia
Hali yako vipipumbavu leo simba mnafungwa, litimu silipendi hili, ningekuwa na bomu ningewarushia
Kumekucha walete walete CC joanah njoo tukule kiporo chetu. Wana ntwara ntatusamehe leo
Hilo bomu rusha pale Yanga kuna uchafu mwingi sana.. Muanze upyapumbavu leo simba mnafungwa, litimu silipendi hili, ningekuwa na bomu ningewarushia
Mambo ni 🔥🔥🔥Leo ndio siku tunaenda wakata matumaini na kuvunja ndoto zao; hatutelezi kiporo kitaliwa na kushushiwa na iftari mujarabu apo baadae