Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Ndanda FC Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

Lazima tuwachape nchale hata 2 hawa Ndanda kuchele... Watusamehe sana
Nguvu ya Mamba.. Terminater.. MK14 Leo ni zamu yako.
Simba nguvu moja
MK14 ameshaweka 2 peke yake mpaka sasa.
We are The Champions
 
Mkude leo anatikisa, Zana leo sijui kala ugali wa muhogo hajakata viuno nahisi usiku Zahera anatabia ya kishenzi kumtumia wanawake wanamfyonza nguvu usiku kucha hongera zana👏👏
 
Kageree fireeeeeee
Simba nguvu moja
 
Simba ndo timu ya kushabikia, sio ile Mapresha FC aka vyura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…