Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Ndanda FC Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Ndanda FC Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

Tukutane Caf champion legue. Mwakani lazima wakina Mazembe. Esperance wakae. This is simba brother.
 
Simba itachukua ubingwa mara ya 18 yanga ni mara ya 27 kila la heri muamala fc
We unatukabidhi ubingwa wakati Wenzio Yanga wamekata rufaa eti PASCAL WAWA amecheza leo wakati alikuwa na kadi 3 za njano.

Na bado
 
Mechi tano za raundi ya kwanza zinachezwa raundi ya pili Alafu mamama wanaona poa.. Msomali ukikutana na mimi Misri unarudi kilema
Hizo kwaya kaimbie pale jangwani Chura wenzio wacheze na kusifu.
Huku hakuna madimbwi .
 
Kipindi cha michezo jana redioni, aliulizwa " mmejipangaje kuwakabili Simba kesho? Mchezaji alijibu,"Sisi hatuna cha kupoteza." Aliulizwa, kwa hiyo mtacheza chini ya kiwango? Mchezaji alijibu, hapana.Leo tumejionea kweli Ndanda hawana cha kupoteza kwa kiwango walichoonyesha!
Mmegeuka kuwa Ndanda wakati bado point 1... Lipuli aliwakomesha kwapa manyoya fc nyie.
 
Umekaa sana majini, umevuliwa umekuwa kama zezeta..Punguwani Waheed...Na hiyo mechi mbona hujibu?
P

Huna akili hivi IQ yako imevuka 100%naongelea msimu mzima kambale wewe
 
Back
Top Bottom