PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Tukutane Caf champion legue. Mwakani lazima wakina Mazembe. Esperance wakae. This is simba brother.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli?Bado point 1
Niko nakusubiri shemela wangu mmUsihofu kabisa shemela wa mimi
Nipo shemela wangu,leo usiku nitakuja kf by saa2 hivi
Hata futari ya jana Uongozi wa Yanga ulisema wanajipanga msimu ujao... Maana yake wameshusha majeshi.kumbe tutaingia mechi ya sevilla tukiwa mabingwa kamili
Hahaha hawa jamaa zetu wana miakaHata futari ya jana Uongozi wa Yanga ulisema wanajipanga msimu ujao... Maana yake wameshusha majeshi.
We unatukabidhi ubingwa wakati Wenzio Yanga wamekata rufaa eti PASCAL WAWA amecheza leo wakati alikuwa na kadi 3 za njano.Simba itachukua ubingwa mara ya 18 yanga ni mara ya 27 kila la heri muamala fc
Makombe 28 hamuoni aibu kutembeza bakuli... Mnazidiwa na NdandaSimba itachukua ubingwa mara ya 18 yanga ni mara ya 27 kila la heri muamala fc
Hizo kwaya kaimbie pale jangwani Chura wenzio wacheze na kusifu.Mechi tano za raundi ya kwanza zinachezwa raundi ya pili Alafu mamama wanaona poa.. Msomali ukikutana na mimi Misri unarudi kilema
Mmegeuka kuwa Ndanda wakati bado point 1... Lipuli aliwakomesha kwapa manyoya fc nyie.Kipindi cha michezo jana redioni, aliulizwa " mmejipangaje kuwakabili Simba kesho? Mchezaji alijibu,"Sisi hatuna cha kupoteza." Aliulizwa, kwa hiyo mtacheza chini ya kiwango? Mchezaji alijibu, hapana.Leo tumejionea kweli Ndanda hawana cha kupoteza kwa kiwango walichoonyesha!
Kabisa.. Yanga wataenda CHAN kukata rufaaNaomba TFF mechi za simba zilizobaki timu ipunzike sisi mashabiki tucheze na tutachukua ubingwa
Mkuu punguza jazba.. msimu mmoja hatuwezi kuwa mabingwa wawili TPL.P
Huna akili hivi IQ yako imevuka 100%naongelea msimu mzima kambale wewe
Hahahaaaa!!!Kabisa.. Yanga wataenda CHAN kukata rufaa
Dah!washinde tu!wanatia hurumaYanga akitoa sare hatuhitaji kuitafuta hata hiyo moja uwanjani
Angalia rekodi zako vizuriSimba itachukua ubingwa mara ya 18 yanga ni mara ya 27 kila la heri muamala fc
Acha kukurupuka wewe Chura fc, kama hujui kaa kimya.Simba itachukua ubingwa mara ya 18 yanga ni mara ya 27 kila la heri muamala fc
Ni mara ya ngapi wewe mbumbumbu fc mpesaAcha kukurupuka wewe Chura fc, kama hujui kaa kimya.