Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Singida United, Uwanja wa Taifa Dar es salaam

Tunahamia huku baada ya mda mchache, Mbeya kazi Imekwishwa. Kwa niaba ya kamati ya rohombaya kama Mashujaa, Katibu mwenezi nipo hapa kuona soka la msimbazi
 
Alipata majeraha kidogo kwenye mchezo dhidi ya Nkana FC katika Ligi ya Mabingwa Afrika..! Ni mpiganaji hatari pale mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu, tena ukizingatia tunahitaji kushinda game zetu zote za viporo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea ubingwa wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…