Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #21
Tenga muda kisha usome tena Thread kwa utuvu utaelewa kuhusu hilo suali lako mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiboko ya Mashujaa
Natesekaje na Makambo anafanya yake kila uchao?
Siyo wanao tangulia ni wenye kombe lao, hivyo rudi uliko zoea tukutane after 5yrsKwa wale wanaotangulia wakae wakijua kuwa kuna nafasi za watu, kwahivyo wajiandae Kisaikolojia
Kikokotoo cha msimu uliopita kitaendelea kutumika mpaka 2020
This Is Simba SC..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipata majeraha kidogo kwenye mchezo dhidi ya Nkana FC katika Ligi ya Mabingwa Afrika..! Ni mpiganaji hatari pale mbele.Mkuu Ghazwat Meddie Kagere aka mamba aka mashine ana tatizo gani leo mbona hayupo ata sub? Huyu mwamba namkubali sana.
Baba la Afrika mashariki anawakilisha kandaYes..Taifa kubwa, Mabingwa wa Nchi, Wawakilishi pekee Afrika Mashariki kwa ngazi za Kimataifa
This Is Simba SC..SimbaNguvuMoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Soon game inaanzaNgapiii ngapiii mbona matokeo hamuweki
Hivi singida ni nchi nyinine?Baba la Afrika mashariki anawakilisha kanda
Nakuangalia tu hapa ulivyotukimbia kule mbeya mkuuKila la heri mnyama yangu mimi
Hizi tumechomekea tu mkuu. Nipo kwenye web page ya CAF hapa,Simba inajadiliwa kama timu ngumu inayocheza sexy soccer na yenye mashabiki wa kumwagikia
Hata Yanga wanasubiri hiyo raha gonga zapatikana MsimbaziMnyama tupe raha
Kabisa mkuu, tena ukizingatia tunahitaji kushinda game zetu zote za viporo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea ubingwa wetu.Alipata majeraha kidogo kwenye mchezo dhidi ya Nkana FC katika Ligi ya Mabingwa Afrika..! Ni mpiganaji hatari pale mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niangalie jamani niko hapa mimiNakuangalia tu hapa ulivyotukimbia kule mbeya mkuu