37' Kipute cha TPL uwanja wa Taifa bado Simba wanaongoza kwa bao moja
Simba SC 1-0 Singida United
Sent using Jamii Forums mobile app
17' Gooooooooooaaal Gooooooaaal
John Bocco anaandika bao la kwanza baada kupokea pasi safi ya Kichuya
Simba SC 1-0 Singida United
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo asiyeelewa kuwa Singida Utd ni kutoka mkoani Singida Tanzania basi kazi ni kubwaUzi unazungumzia mechi ya simba dhidi ya singida sasa nimekosea wapi? Chukulia kama mtu hajui singida kama ni timu ya Tanzania angeelewaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gooooooooooaaal Gooooooooooaaal
Ramadhan Kichuya anaandika bao la tatu
Simba SC 3-0 Singida United
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hisani ya Bartez Ali MustafaKichuyaaaaaaaaa Simba 3 akipokea rula toka kwa Chama
Wapii mbona umekimbia?? This is......
Daaaah goli kabisa lile