Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Singida United, Uwanja wa Taifa Dar es salaam

Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Singida United, Uwanja wa Taifa Dar es salaam

45+2' Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Taifa

Naaaaaaaam kipindi cha kwanza TPL kimekamilika ambapo Simba wanatoka wakiwa mbele ya bao moja bila, dhidi ya Singida Utd

Simba 1-0 Singida United

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una miaka 36 kma kagere. Goli moja la makambo linarudisha miaka 6 nyuma ikijitazama kwenye kioo unaona bado Mzee kma Okwii unajitathimin.. unakufa
 
Back
Top Bottom