Ndemla yuko vzr ila kadi ya njano inamnyima uhuru.. ikibidi pia atoke.Hapa kulikuwa na goli 5 hivi kabla ya HT,kocha toa Kagere,Manula na Rashid
Pole yako mkuu... KamweneeeMnajitekenya na kucheka wenyewe
Mnajitekenya na kucheka wenyewe
Inahusu nini humu... peleka sanduku la maoni.Serikali fukuza viongozi wote wa TFF. . Ligi gani ya ovyo ovyo. . Haina mdhamini. . Viporo mpaka vya miezi kwenye fridge. . Tukitoka AFCON na furushi la magoli wekeni shinikizo watoke wenyewe au wafanyjwe zengwe uwanja ulijaa mechi na Uganda na nje watu wanatiketi . ni uhujumu uchumi
Serikali fukuza viongozi wote wa TFF. . Ligi gani ya ovyo ovyo. . Haina mdhamini. . Viporo mpaka vya miezi kwenye fridge. . Tukitoka AFCON na furushi la magoli wekeni shinikizo watoke wenyewe au wafanyjwe zengwe uwanja ulijaa mechi na Uganda na nje watu wanatiketi . ni uhujumu uchumi