Tanzania Premier League (TPL) Simba VS Coastal Union....Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi)

Hapa kulikuwa na goli 5 hivi kabla ya HT,kocha toa Kagere,Manula na Rashid
 
47' kipindi cha kwanza kimeisha Simba yupo mbele kwa uongozi wa goli 2-1 dhidi ya Coastal Union
 
Serikali fukuza viongozi wote wa TFF. . Ligi gani ya ovyo ovyo. . Haina mdhamini. . Viporo mpaka vya miezi kwenye fridge. . Tukitoka AFCON na furushi la magoli wekeni shinikizo watoke wenyewe au wafanyjwe zengwe uwanja ulijaa mechi na Uganda na nje watu wanatiketi . ni uhujumu uchumi
 
46' mpira umeanza kipindi cha pili

47' Simba wanapata kona

47' Gooooooooal Okwi

Simba 3-1 Coastal Union
 
Serikali fukuza viongozi wote wa TFF. . Ligi gani ya ovyo ovyo. . Haina mdhamini. . Viporo mpaka vya miezi kwenye fridge. . Tukitoka AFCON na furushi la magoli wekeni shinikizo watoke wenyewe au wafanyjwe zengwe uwanja ulijaa mechi na Uganda na nje watu wanatiketi . ni uhujumu uchumi
Inahusu nini humu... peleka sanduku la maoni.
 
Serikali fukuza viongozi wote wa TFF. . Ligi gani ya ovyo ovyo. . Haina mdhamini. . Viporo mpaka vya miezi kwenye fridge. . Tukitoka AFCON na furushi la magoli wekeni shinikizo watoke wenyewe au wafanyjwe zengwe uwanja ulijaa mechi na Uganda na nje watu wanatiketi . ni uhujumu uchumi

Hampo ligi kuu, wala FA,hela za sportpesa mlizipeleka wapi,utaumia sana
 
53' SUB kwa upande Coastal Union
Ally Ugando OUT
Hamis Kanduru IN
 
55' Okwi anapiga shuti kali kipa Sudi Abdul anaokoa
 
59' kwa mara nyingne Okwi Anapiga shuti ndani ya box kipa na mabek wa Coastal wanajigonga gonga mpira unamfikia Tshabalala anakosa goli la wazi
 
Back
Top Bottom