Tanzania Prisons 0-1 Simba | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Sokoine | 14/09/2022

Tanzania Prisons 0-1 Simba | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Sokoine | 14/09/2022

Kwa kweli kwa Simba hii Wana Simba tujiandae tu kisaikolojia.....sioni morali ya timu....sioni Ari ya timu......sioni kujituma kwa wchezaji...... wachezaji hasa wazawa wamezoea kucheza Simba.... hawaoni thamani ya klabu.....mtu kama Muzamiru na Mkude walitakiwa kuachwa zamani sana
Watoto wa mkude na mzamiru watakula nini [emoji23][emoji23][emoji23]hao Kuna siku wataingia na bakora uwanjani
 
Risk ..kumuingiza ONYANGO
Mechi fitness
 
Ngoja kwanza ni log off. Simba ikifunga ntarudi ikifungwa basi nitafute kwanza Malta mbili nije na nguvu za kuwakabili utopwinyo mana uzi utakua wao. Hahahah
Bado hamjakutana na sie Azam
 
Back
Top Bottom