Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeanza lini kulilia penalty?Clear penalt…
Watoto wa mkude na mzamiru watakula nini [emoji23][emoji23][emoji23]hao Kuna siku wataingia na bakora uwanjaniKwa kweli kwa Simba hii Wana Simba tujiandae tu kisaikolojia.....sioni morali ya timu....sioni Ari ya timu......sioni kujituma kwa wchezaji...... wachezaji hasa wazawa wamezoea kucheza Simba.... hawaoni thamani ya klabu.....mtu kama Muzamiru na Mkude walitakiwa kuachwa zamani sana
Kwani lazima iwe SimbaWatoto wa mkude na mzamiru watakula nini [emoji23][emoji23][emoji23]hao Kuna siku wataingia na bakora uwanjani
Akipigwa mtu saa hizi halirudiCounter attack ya pili tumekoswa
Hata sielewi, hao wanaoanza sioni wanachofanya..Okwa alisajiliwa kukaa benchi?
Bado hamjakutana na sie AzamNgoja kwanza ni log off. Simba ikifunga ntarudi ikifungwa basi nitafute kwanza Malta mbili nije na nguvu za kuwakabili utopwinyo mana uzi utakua wao. Hahahah