Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari mnyama kauwa huko.Nqsikia makelele uko kuna nini?
Yatavyo kuja ku comment hapa kama yamefufuka 🤠🤠GOOOAL MAKOLO WANAPATA GOAL MKUDE ANASHINDA HAPA
Sana yani unaangalia mpira huku unatetemeka kwa pressureLakini hili La Kushinda Jioni Simba Wanatukosea Mashabiki
Sana yani unaangalia mpira huku unatetemeka kwa pressure
Mshaanza malalamiko,mshasahau juzi tuu mlimwaga sifaMzamiru anamalizaje dakika 90
Sifa kubwa ya wachawiMshaanza malalamiko,mshasahau juzi tuu mlimwaga sifa