ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
-
- #21
Mtasema bahasha ni tupu.Leo nimeona Mchezaji Bora wa Mwezi wa Tanzania Prisons Akikabidhiwa Zawadi yake na wadhamini
Hela zipo Uchi, Yaani Hata Bahasha Ya 200 mdhamini Imemshinda.
Ole wake tufungwe. Atatueleza kwa nini amepeleka timu yenye wachezaji wagonjwa.Bumbuli na taarabu za mzee Yusuph
Nyuma mwikoDaima mbele, waadabisheni hao wajelajela waume wa Makolo waliotoka nduki jana