mwalimu_wa_IT
Member
- Nov 5, 2024
- 93
- 165
Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo.
1.Ufahamu wa Technology (Elimu)
yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya hizo simu hawazijui kabisa yaani hawana uwelewa wa mambo ya tech.
2.Support ya Serikali
Inashangaza nchi kubwa kama hii ina watu almost 60million ..kwenye maofisi yao bado wanatumia daftari kuhifadhi data inasikitisha saana..
3.Ujuaji wa Developer
Madeveloper wengi ni wajuaji maneno Meengi kazi hakuna project haziishii , hawana ushirikiano hili nalo ni tatizo wana Tama sana na Hela kazi hawamalizi wanaingia mitini.
Nitaendeleaaa...
Mimi ni mwalimu nafundisha coding na pia natengeneza mifumo yoote
App
Desktop
web
pia ni developer nina project zangu ukitaka kuziona ni Pm na github yangu nita share na wewe