Tanzania Programmers ni kweli tunafeli ni kweli hatuna uwezo wapi tunapokwama, nini kifanyike?

Tanzania Programmers ni kweli tunafeli ni kweli hatuna uwezo wapi tunapokwama, nini kifanyike?

Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo.

1.Ufahamu wa Technology (Elimu)
yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya hizo simu hawazijui kabisa yaani hawana uwelewa wa mambo ya tech.

2.Support ya Serikali
Inashangaza nchi kubwa kama hii ina watu almost 60million ..kwenye maofisi yao bado wanatumia daftari kuhifadhi data inasikitisha saana..

3.Ujuaji wa Developer
Madeveloper wengi ni wajuaji maneno Meengi kazi hakuna project haziishii , hawana ushirikiano hili nalo ni tatizo wana Tama sana na Hela kazi hawamalizi wanaingia mitini.

Nitaendeleaaa...
Mimi ni mwalimu nafundisha coding na pia natengeneza mifumo yoote
App
Desktop
web
pia ni developer nina project zangu ukitaka kuziona ni Pm na github yangu nita share na wewe
Kuna ule usemi usemao ''chema chajiuza, kibaya chajitembeza''. Tanzania ni nchi ya watu wa maneno mengi. Kazi nyingi tunazifanya kwa maneno. Hii culture imejengeka sana kwa sababu chimbuko la uongozi wetu na makao makuu ya nchi ni Pwani. Na unajua tena watu wa Pwani ni watu wanaopenda kuongea zaidi kuliko kutenda. Hili limeenea mpaka kwenye uongozi wa nchi. Nchi yetu inajengwa kwa maneno na kujisifia. Lakini kwa bahati nzuri (na mbaya kwetu) ni kuwa kuna kazi zinahitaji utendaji. Kama hujui, huwezi kufanya chochote au ukifanya matokeo yake yanakuwa hayana mvuto. Hapo ndipo programming inapoingia. Hata wewe unayejiita ni mwalimu sidhani kama una ujuzi wowote wa maana. Kama unao basi weka samples za kazi yako watu waone.
 
Nitaweka mkuu
 
Thread hii kila wiki mtu anakuja na remix yake, wabongo kwa kupenda kupondana na kushushana hatujambo, labda tengeneza App ya kuponda watu.
 
developers wangekuja na projct moja ya kwenye majiji kwa kuanzia. itayowezesha kujua sehemu gani kuna vyumba vya kupangisha na fremu zilizo wazi. iwe linked na mfumo wa serikali mtaa ili kabla mtu hajaenda kukagua sehemu fulani serikali mtaa wanafahamu fulani leo kaenda kukagua mahali fulani. hii itasaidia kuondoa lawama za madalali na kupangisha watu wasiofahamika.

au watu waingie front kutengeneza mfumo wa serikali mtaa ambao utakua unafunctions mbalimbali za chapchap ikiwemo hiyo ya juu hapo, kwamba hata kama mtu hana access na mtandao akifika serikali mtaa vitu vyake vitakua processed na mtandao. kazi kwenu kuungana kufuma hii
Wazo ni zuri.Swali ni Je nani atalipia Gharama za kuutengeneza?Je Ukishatengeneza Mfumo huo utaingizaje Pesa?Je umiliki na usimamizi wa mfumo husika pamoja na taarifa utakuwa chini ya nani?
 
Wazo ni zuri.Swali ni Je nani atalipia Gharama za kuutengeneza?Je Ukishatengeneza Mfumo huo utaingizaje Pesa?Je umiliki na usimamizi wa mfumo husika pamoja na taarifa utakuwa chini ya nani?
hapa mfumo huu mnunuzi ni serikali kwa maoni yangu
 
Nazani ni muhimu developer wa bongo kuwa na forum au team watano watano wanafanya kazi vijana wengi ukiwapa kazi wanakimbia kazi inakuwa inatia mashaka
 
Back
Top Bottom