joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
leta ushaidi bajeti yenu ya 2017/2018 ama 2018/2019 ni zaidi ya deni lenu.Kabajeti kenu ka 2017/2018 ni trillioni 31.6, nusra nusu ya bajeti ya Kenya halafu deni ndio hilo mumefikia trillion 47 ilhali huwa mnajinadi kwamba kila kitu mnanunua kwa hela zenu, kwamba hamkopi, sasa haya matrilion yaliyozidi kabajeti kenu huwa yanaenda wapi.
Unafahamu kwanini budget ya kenya Ni kubwa? 45% (KSH 700B) hutumiwa kulipa madeni. Budget ya kenya ya matumizi ya kila mwaka( recurring expenditure) ni 400B, inayo baki 600B inapotea kwa Ufisadi.Kabajeti kenu ka 2017/2018 ni trillioni 31.6, nusra nusu ya bajeti ya Kenya halafu deni ndio hilo mumefikia trillion 47 ilhali huwa mnajinadi kwamba kila kitu mnanunua kwa hela zenu, kwamba hamkopi, sasa haya matrilion yaliyozidi kabajeti kenu huwa yanaenda wapi.
Ebana eeh!! Duuuh!! Hii hatari sanaUnafahamu kwanini budget ya kenya Ni kubwa? 45% (KSH 700B) hutumiwa kulipa madeni. Budget ya kenya ya matumizi ya kila mwaka( recurring expenditure) ni 400B, inayo baki 600B inapotea kwa Ufisadi.
Shock for Kenyans next year as debt payments soar
Una machungu buda si uhamie Zanzibari kuna watoto wamesimama kuruka.Unafahamu kwanini budget ya kenya Ni kubwa? 45% (KSH 700B) hutumiwa kulipa madeni. Budget ya kenya ya matumizi ya kila mwaka( recurring expenditure) ni 400B, inayo baki 600B inapotea kwa Ufisadi.
Shock for Kenyans next year as debt payments soar
Stupid Fellow, Understand this: Kenya's Net Budget is smaller than TZ when you factor in what is lost through corruption and deduct loan repaymentsUna machungu buda si uhamie Zanzibari kuna watoto wamesimama kuruka.
And still on top of Tanzania dimwit.Stupid Fellow, Understand this: Kenya's Net Budget is smaller than TZ when you factor in what is lost through corruption and deduct loan repayments
Hehehe!! Hakuna Mtanzania anayediriki kusoma haya yote, kwanza ni ya Kingereza, wanasoma mstari wa kwanza na kutoweka.