Tanzania pulls out of East Africa Common Visa Plan

Tanzania pulls out of East Africa Common Visa Plan

Status
Not open for further replies.
This thread is a mess...

This is what mindless nationalism does to you. Carry on Keyboard warriors....
 
"Tanzania pulls out" ndio headlines ambazo huwapa raha Wabongo, pulling out, pulling out, pulling out, siku zote uwoga na kutokujiamini kwa lolote na popote.
Muwekeze kwenye elimu ili umma wa Tanzania uwe na uwezo wa kushindana na kuongoza, sio haya maisha ya mkisikia jina la Kenya mnababaika na kutetereka.

Wakenya tumewekeza kwenye nguvu kazi. Juzi kuna sehemu niliwaskia dada wa Kitanzania wakiongea wenyewe ofisini sehemu, halafu mmoja akasema "Hiyo ripoti imeandaliwa na Mkenya, chezea Wakenya wewe, wanajituma kweli".... Hawakujua mimi Mkenya, aisei nilihisi mzuka, nilihisi nipae kwa mabawa...yaani hadi raha....

Nafikiri hii picha hapa inaelezea kitu cha kujifunza kuhusu Kenya....

olympics714.jpg
 
Yap, that's brainless from your countrymen spokesman.

crazy tanzanians. mpo kote kote kwa huu uzi with verbal diarrhea celebrating non issues. Nyie kufikiria kwenu uwa sawa kweli!!! kenya ikitajwa ni kama nyuki kwa mzinga katiwa moto!!

WJVsvqah.jpg

isiolo moyale rd

Marsabit-Moyale_Rd.jpg

CoUD8teXgAAbipg.jpg
 
not to sound biased or anything, but Kenyans are always known for acting smarter than others. They are the kind of people that will always have a hidden motive to anything they do regardless of how harmless it will seem on the outside. Take an instance with the Kenyan women, they will never date a non Kenyan unless they are certain of gaining something out of the relationship, be it accommodation if it's in a foreign country, Citizenship etc. Even in a normal friendship you have to be wary of them cause they mostly are one sided kind of friends who aim at gaining more from the friendship.

Same with this tourism deal, they know they stand to gain more on the attractions from TZ that is why they are spear heading the whole agreement. It's a known fact most of the tourists that come to East Africa other than the national parks which we both have plenty of (TZ and Kenya) they want to see Kilimanjaro and since Kenyans have been exposed to the world for their fraudulent claims that the mountain was in their country, what better way to still have access to the mountain at a standard cost than having a common East African Visa? Had it been that they stood to gain nothing they will have been the first to reject the idea.

All in all they are good people only extremely selfish and think so mighty of themselves.............
Kaka brazza, tupe mfano moja tu ya "wakenya kuitangaza Kilimanjaro yao". Nimesikia hii utumbo muda mrefu japo sijaona na macho hata poster 1 .Mnarudia rudia nursery rhymes za chekechea hadi mnadhani lipo. Tuonyeshe kwa njia ya picha nilale vizuri leo
 
'Come to Kenya and see Mt. Kilimanjaro'! You can imagine what would happen when we have a single tourist Visa. I wouldn't be surprised to hear things like come to Kenya so that you can see Africa's big five in Serengeti!
Nothing wrong with the caption 'Come to Kenya and see Mt. Kilimanjaro'!. Couse isn't that just the truth?. Come to kenya, have a better view of Kilimanjaro. Go to Tanzania, climb Mt kilimanjaro. period!...
 
Tanzania tunapata pesa nyingi kwenye utalii kuliko Kenya, mnajifanya wajanja kutuingiza kwenye mitego yenu lakini kamwe hatutajiingiza kichwa kichwa.

Kenya's earnings from tourism fall 3 pct in 2015
Kenya's revenue from its tourism sector dropped 2.87 percent last year to 84.6 billion shillings ($837.21 million), its tourism minister said.

Siku ya utalii duniani kuadhimishwa mwezi ujao – Raia Mwema
Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya tatu barani Afrika kwa kuwa na mapato mengi yatokanayo na sekta ya utalii, kwani kwa mwaka 2015 yalikuwa ni dola za Marekani bilioni 2.2 (shilingi trilioni 5).

Kitu pekee kinachovutia watalii Kenya ni hiki hapa.
 
brainless statements...which blow. kenya wasnt getting anything from nothing. you were never part of it in the first place coz you never joined the coalition of the willing!!! so what are pulling out from!!!!
You can still do better without us,mbona unaongea kwa ukali,..huu mchezo hautaki hasira!
 
crazy tanzanians. mpo kote kote kwa huu uzi with verbal diarrhea celebrating non issues. Nyie kufikiria kwenu uwa sawa kweli!!! kenya ikitajwa ni kama nyuki kwa mzinga katiwa moto!!

WJVsvqah.jpg

isiolo moyale rd

Marsabit-Moyale_Rd.jpg

CoUD8teXgAAbipg.jpg
Nikiangaliaga huu mradi wa reli huwa nacheka sana. Jinsi Manyan'gau mlivyolizwa na viongozi wenu.

Reli ya Addis Ababa mpaka Djibouti ina urefu wa Km 756, imecost USD 4 billions, km 150 ni double tracks na reli yote ni electrified, yani hiyo bei ime include na miundombinu ya umeme..

Reli ya Mombasa mpaka Nairobi ina urefu wa km 609 imecost USD 3.8 billions, sio electrified na sehemu kubwa ni single track..

Ukiangalia wazi hapo mmeliwa.. msisingizie madaraja maana hata wao Ethiopia wameyajenga.

Hao viongozi wenu waanze kuwapenda nyie kwanza ndio waje watupende sisi wa Afrika Mashariki.
 
Hapa nilipo imetimia saa10 na robo hivi na inaukubalika ni mapema sana kula viroba. Naomba ukanunue chipsi mayai utakapoua unapitia uzi huu ( Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania ) maanake refu na utashikwa na njaa haraka. Usiitishe chili sauce, itaongeza ukali bure.

ili uepuke kuhesabiwa kati ya robo wanaopambana na kichaa kwenu pitia hapa ( Vipi utafiti kama huu wa vichaa ulifanyika Kenya? ). itakufaidi.
 
Nothing wrong with the caption 'Come to Kenya and see Mt. Kilimanjaro'!. Couse isn't that just the truth?. Come to kenya, have a better view of Kilimanjaro. Go to Tanzania, climb Mt kilimanjaro. period!...
Hahahaah! Yeah, there is also nothing wrong with us pulling out, we are just looking out for our interests. Moreover, if you are benefiting from Mt. Kilimanjaro, then it is time you start paying upkeep fees as the ice on top of the mountain is melting away!

You should be telling us how we will benefit with the Single Visa, don't just pull us with you. Give us numbers, how many tourists go to Kenya and then go to TZ and how many do vice-versa. Otherwise, 'come to Kenya and enjoy beautiful beaches of Zanzibar' is coming soon with single visa!
 
Nice move my Tz... I'm expecting more nice moves under the best president of Africa at this time Dr John Magufuli... Habari wanayo [HASHTAG]#Imooooo[/HASHTAG]
 
Wakenya hamuaminiki na hamtakaa mje kuaminika.
Mshukuru Mungu mmepakana na Tanzania ila hatuwaamini hata kidogo.
 
Wakenya hamuaminiki na hamtakaa mje kuaminika.
Mshukuru Mungu mmepakana na Tanzania ila hatuwaamini hata kidogo.
cha kushukuru kisa tumepakana na bongo ni kipi?hebu ntajie kimoja
 
Tanzania tunapata pesa nyingi kwenye utalii kuliko Kenya, mnajifanya wajanja kutuingiza kwenye mitego yenu lakini kamwe hatutajiingiza kichwa kichwa.

Kenya's earnings from tourism fall 3 pct in 2015
Kenya's revenue from its tourism sector dropped 2.87 percent last year to 84.6 billion shillings ($837.21 million), its tourism minister said.

Siku ya utalii duniani kuadhimishwa mwezi ujao – Raia Mwema
Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya tatu barani Afrika kwa kuwa na mapato mengi yatokanayo na sekta ya utalii, kwani kwa mwaka 2015 yalikuwa ni dola za Marekani bilioni 2.2 (shilingi trilioni 5).

Kitu pekee kinachovutia watalii Kenya ni hiki hapa.

kwahiyo washangilia wakati tukikumbwa na ugaidi...we ni bure kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom