MGILEADI
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,621
- 1,545
uoga uko wapi, si kila siku nyi watz mnajisifia mko na vivutio vingi zaidi kuliko EA yote
Wahenga walisema ukiishi na mtu mjanja usijaribu kumwonyesha ujinga wako. Mwonyeshe kwamba wewe ni mjanja zaidi kuliko yeye ndipo atakuheshimu. Mkishaheshimiana sasa mnaweza kuishi pamoja na kushirikiana. Maana hatajaribu kukugeuka kwa maana anajua utamgundua.