Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
You can rig the elections but you can't rig the economy. Uchumi mbaya indicators zake hazijifichi. Angalia Ethiopia kuanza wakati wa Meles Zenawi (RIP), walikuwa wana implement miradi mikubwa ya ujenzi kama hii anayofanya Jiwe. Likewise wakawa wana rig (chakachua) data za kukua kwa uchumi ili wapate excuse ya ukandamizaji wa demokrasia uliokuwa unaendelea.Hiyo figure ingekuwa ni kweli maisha yasingekuwa hivi yalivyo na hiyo source sio ya kuamini ni wazuri sana kwa ku-manipulate takwimu.
The institution is notorious for data manipulation and doctoring to give the regime the political milage. Only cretins will be duped.
Ethiopia for that matter ikawa ndiyo nchi inayotambuliwa kuwa uchumi wake unakuwa kwa kiasi kikubwa zaidi kuliko nchi nyingine ya Africa. Invariably watu wake hasa vijana tumeshuhudia wakiwa wanakufa kwenye bahari ya Mediterranean wakitaka kukimbia kwenda Ulaya na wengine hufia kwenye malori Tanzania wakiwa wanakimbia maisha magumu kwa kwenda South Africa.
Hali hii inainyemelea Tanzania kwa kuwa vijana walio graduate kuanzia mwaka 2015 hawajapata ajira mpaka leo.
Ukiniambia uchumi unakuwa kwa hayo matakwimu ya kuchakachua nitakudharau kwa kuwa micro and macro economic indicators unaziona kwenye maisha ya kawaida kuwa tunarudi nyuma.