You can rig the elections but you can't rig the economy. Uchumi mbaya indicators zake hazijifichi. Angalia Ethiopia kuanza wakati wa Meles Zenawi (RIP), walikuwa wana implement miradi mikubwa ya ujenzi kama hii anayofanya Jiwe. Likewise wakawa wana rig (chakachua) data za kukua kwa uchumi ili wapate excuse ya ukandamizaji wa demokrasia uliokuwa unaendelea.Hiyo figure ingekuwa ni kweli maisha yasingekuwa hivi yalivyo na hiyo source sio ya kuamini ni wazuri sana kwa ku-manipulate takwimu.
The institution is notorious for data manipulation and doctoring to give the regime the political milage. Only cretins will be duped.
Siyo kweli ulichoandika. Kipimo cha deni siyo absolute number bali ni ratio ya Debt/GDP. Japan na Greece ndiyo zina deni kubwa kama ifuatavyo;Nije kutafuta umaarufu JF? Nicheke mie, kama hoja imekushinda kaa kimya. Narudia tena hakuna nchi yenye deni kubwa kama marekani. Tanzania bado deni letu ni dogo, if you know what I mean.
Hivyo ndivyo wachumi walivyoamua kupima viwango cha mkubwa wa uchumi wa nchi. Kasome kitabu cha "Wealth of Nations" cha Adam SmithSijawahi kuamini katika GDP,utajiri wa watu wachache unagawanywa kwa umaskini wote then mtu anasema kipato kimekua
Bila shaka nyie ndio mafisadi mamboleo. Every regime with its spoils' beneficiaries.
''If there's one thing the good old U.S.A. has a lot of, it's debt. In an almost embarrassingly short time frame (from the Clinton era until now), the United States has gone from having a budget surplus to being the most indebted nation in the world, racking up an estimated $16 trillion in debt, the burden of which works out to roughly $148,000 per taxpaying citizen. So who do we owe all this money to? Below are the top 10 countries the U.S. owes money to.''
Ukipenda unaweza kuweka mtazamo wowote unaopenda, deni la taifa la Tanzania bado ni lile linaloweza kuhudumiwa na Watanzania wenyewe. Kwa hiyo basi wale vikaragosi ambao wanafikiri tumekopa sana bado wana mtihani mkubwa wa kufanya kwa sababu hakuna nchi inayopiga maendeleo bila kukopa. Vile vile ukiona tunakopeshwa lazima ufahamu kwamba tunaweza kulipa. Ni miezi michache tu imepita tangu Credit Rating ya Tanzania ilipopandishwa kama sikosei ilikuwa July 2019. Deni la Tanzania Dec 2017 kwa ratio ya GDP lilikuwa 17.66%
Ukiona vikaragosi vinapiga kelele fahamu mirija yao imekatwa.
Bila shaka nyie ndio mafisadi mamboleo. Every regime with its spoils' beneficiaries.
I don't think if you're up for the task.FYI, I just happen to love my Country na panapo majaliwa will use my skills and commitment to develop the life style of the people in Tanzania and spread the wings if possible to Africans.