Tanzania: Quotes & Our National Politics!

Tanzania: Quotes & Our National Politics!

Rev. Kishoka,
Nimekusikia mkuu kwa hivi visa.. lakini mkuu hiki cha pili kimekaa vibaya sana maanake kinaonyesha nukuu ya Biblia kiasi kwamba inanipa wasiwasi na huyu Padre aliyekufundisha. Imekuwa sio kisa tena ila ni UKWELI kutoka ktk Biblia jambo ambalo naona huyu kiongozi amepotoka.
Nini Ukweli wa sisi binadamu kuwa na rangi tofauti?...
Ukweli ni kwamba kama Mungu angetuumba sisi wote Wachina basi ingekuwa sii rahisi kwetu kufahamiana, kutambuana..Ni katika misahafu tunaambiwa Mwenyezi Mungu alituumba kwa rangi tofauti, sura tofauti, urefu tofauti na kadhalika ili sisi tuweze kutambuana...
Na uhakika wa hili tunaupata ktk wanasayansi ama Wanyama ambo tumeona wakiwekwa alama za mihuri ama kamba miguuni, masikioni na kadhalika ili tupate kuwatofautisha..
Pamoja na yote hayo NDIVYO TULIVYO bado imesimama pale pale na hakiika kuwepo kwetu hapa kijiweni, kukataa kwa Pundit na wenzake ni mwanzo mzuri sana kwetu kuweza kutazama hata upande huo laa sivyo tungefahamu vipi kuwa sisi Waafrika ndivyo tulivyo! - Kila siku tutaendelea kumlaumu Mungu hadi lini? when tutaweza kusimama kwa miguu yetu wenyewe na kuachana na magongo ambayo yametulemaza ktk utumwa..
Mkuu hadi leo hii Nchi zote za Afrika zinaendeshwa kibiashara na watu kutoka nje!..Watawala wote Afrika ni Minyapala ya mashirika ama nchi za Ulaya. Tunalionda maslahi yao kwa kila hali...
Tazama Kenya, Kenyatta baada ya kupigana na Muingereza kwa miaka, alipopata Uhuru kitu cha kwanza ni kuweka mkataba na Uingereza kibiashara. kenya aliyoikuta toka Ukoloni imebakia pale pale! Tazama Mugabe miaka yote alikuwa na Muingereza hadi tunu alitunukiwa, siku Masters wake walimwona amechoka na kutaka kumbadilisha mtu ndipo aliposhtuka!.

JMushi1,
Mkandara nina swali kwako...Umewataja kina Patel nk....Je kina Patel na wao ndiyo miafrika jinsi ilivyo?
Kwa mfano hapo chini Masanja kadai waafrika dunia pote wana attribute ya umasikini...Unamjuwa Al Fayed wewe?
Vipi kuhusu wenye vijisenti?
..
Mkuu kuhusiana na Al Fayed hayo mawazo ni mawazo ya Masanja nadhani ingekuwa bora ulielekeze swali kwake kwa sababu naweza kujibu asivyokusudia..

Mimi nimewataja kina Patel ili upate kuona kwamba bado hadi leo hii tunawatumikia Masters..babu zetu walinunuliwa kwa shanga na wakaingizwa ktk Utumwa, sisi leo hii tumenunuliwa pia hivyo tumo ktk utumwa mamboleo na hawa viongozi wetu ni manyapalka sawasawa na yule Tipu Tippu alokusanya watumwa ndugu zake na kuwauza kwa waarabu... Kwa mtazamo wake he did nothing wrong na ndivyo viongozi wetu leo hii hawaoni makosa yao kuuza nchi yao..

Mpita Njia kanipa moja safi sana.. Kama kweli mnakataa kuwa sivyo tulivyo itakuwa vizuri sana kama mtatueleza tuko vipi?..hiyo sivyo tulivyo inaunganishwa na matendo yapi tofauti na haya tuliyoyazungumza humu.
 
Safi sana Bob! Yaani mimi na wewe tuko kwenye wavelengths sawa. Haitoshi tu kukataa kwa maneno kuwa Sivyo Tulivyo. Matendo yana sauti na nguvu zaidi kuliko maneno. Kwa hiyo kwangu mimi haitoshi tu mtu kudai/ kupinga eti Sivyo Tulivyo. Talk the talk but walk the walk as well otherwise Miafrika Ndivyo Tulivyo (including kuongea sana) until proven otherwise.....
 
Mkandara,

Kosa la yule mchungaji ni kurudia utumbo tuliolishwa na Mishenari mkoloni! Hiyo hekaya ilitumika kumdhoofisha Mwafrika na kumfanya kuwa yeye ni mnyonge mbele ya wengine.

Kama utagundua vizuri, historia inatuyambia jinsi Mabepari waliopoanza kuingia Afrika kama Wavumbuzi, kisha wakaja Wamisheni halafu tamati ni kuingia Serikali ya Kikoloni.

Kwenye hekaya ya Chaka Zulu na ukiangalia sinema yake, kuna mahali Chaka anawahoji Waingereza kuhusu mfalme Joji na Bwana Yesu akiwa msalabani. Akawauliza kama Yesu ni mfalme wa wafalme, iweje atundikwe msalabani kama mhalifu? Kumbuka hata wazulu walikuwa wakitundika wahalifu kwenye miti mithili ya msalaba.

Zaidi akahoji ni mamlaka gani aliyonayo George kuwa mtawala wa Zulu Kingdom, wakati yeye Chaka ni Mfalme, jibu likaja ni amri ya Mungu au kwa uwezo wa Mungu.

Wazungu walitumia dini na imani kutudhoofisha kimawazo. Huo mfano wa Nuhu, kinachotisha ni ukweli wake kuwa Uzao uliolaaniwa ulisambaa kusini na mashariki ya kati.

Lakini ukweli kizazi kilicholaaniwa, ni kile ambacho leo hii ni Israeli na si Waafrika. Sasa sisi wainjilisti wetu wazawa wakaichukua hadithi hiyo na kuiamini na ukiongeza tamko la Yesu la kudai mpe Kaisari kilicho chake na Mpe Mungu kilichochake, ilikuwa ni tosha kuhalalisha Ukoloni.

Kimoja kuhusiana na hili la tofauti za rangi, nywele na maumbile katika sisi binaadamu, ni lile la ubishi wa Darwin, evolution na creation.

Ukichanganya Historia, Jiografia na Sayansi, ni rahisi sana kupata mtazamo mwingine kwa nini kuna Watu weusi, Wazungu hata waarabu.

Mbegu chafu ya Unyonge imepandwa kwa muda mrefu, na tunapaswa kuing'oa na namuelewa sana Pundit anavyosema kuwa si sahihi kusema kuwa Ndivyo Tulivyo, kwa kuwa yeye Pundit anaimba na kutamka "say it loud, I am Black and Proud"!
 
Mkuu hadi leo hii Nchi zote za Afrika zinaendeshwa kibiashara na watu kutoka nje!..Watawala wote Afrika ni Minyapala ya mashirika ama nchi za Ulaya. Tunalionda maslahi yao kwa kila hali...

Mkuu Bob,

Maneno mazito sana haya, sasa swali ni kwa nini unayosema ni kila nchi ya Africa? Inasikitisha sana kwamba hakuna tofauti, mkuu katika safari za maihsa niliwahi kufika nchi moja inaitwa Equatorial Guinnea,

Yaani bro, kama unafikri bongo noma basi hujaona kitu, kuna bara bara moja tu ya lami uchwara toka Airport, kwenda kwa rais basi, humu njiani watu wanauza mpaka vichwa vya watu, mikono na miguu ya watu, yaani mkuu afadhali bongo tuna nafuu.

Sasa miaka karibu 50 ya uhuru toka kwa wazungu, kweli watu bado tunauzana njiani wewe huoni kuwa bado tuko mbali sana na hakuna mwanga kabisa huko mbele?
 
Sasa miaka karibu 50 ya uhuru toka wka wazungu, kweli watu bado tunauzana njiani wewe huoni kuwa bado tuko mbali sana na hakuna mwanga kabisa huko mbele?

Halafu Equatorial Guinea ni moja kati ya nchi zenye uchumi bora Afrika; kwa kigezo cha per capita income .... kwa sababu ya mafuta .... lakini ndiyo hivyo tena; Rais na wapambe wake wanakula pesa yote .... inasikitisha sana!
 
Hii kwa capita income inakuwa misleading hasa ukiangalia actuality, kwa sababu nchi inavyokuwa ndogo inapewa per capital kubwa kulinganisha na nchi kubwa ambayo inagawanywa kwa idadi ya watu wote. kuna figure zingine ziko sawa kabisa lakini nchi zingine ukiambiwa per capital yao ukaona na maisha halisi unatoka baruti unarudi bongo.
 
kuna figure zingine ziko sawa kabisa lakini nchi zingine ukiambiwa per capital yao ukaona na maisha halisi unatoka baruti unarudi bongo.

Sawa sawa, yaani nimeona mambo mengi sana duniani lakini bob kukuta vipande vya mwili wa binadamu vinauzwa mtaani kama samaki, I mean it was the end of the beginning man, bongo tuko nyuma ndio lakini sio kiasi hiki cha kuuzana mtaani,

Mungu Aibariki Tanzania.
 
Field Marshal Es,
Duh! hiyo ya Guinea mkuu wangu kali sana... lakini ndio ukweli ambao tunajaribu kuukataa yaani bado sisi tumo ndani ya utumwa..

Gm,
Kweli kabisa hiyo ya Per capita ni uzushi mtupu... tazama Alaska, huyu mwanamke anapewa sifa za ajabu lakini nenda huko Alaska ukaone jinsi wahindi wekundu wanavyoishi...

Rev. Kishoka,
Nimekusikia mkuu lakini tazama basi tulivyodandia Miskiti na makanisa kama vile dini tumeachiwa urithi..Hivi kweli hatuwezi kumwomba Mungu hata iwe kama ni dini hizo hizo bila kumshirikisha Mzungu ama Mwarabu?..Kwa nini inakuwa hawa jamaa ndio wawe mbele ktk sala na ibada zetu.
Hivi kweli mzungu na Mwarabu wanamfahamu Mungu kuliko sisi kwa kusoma Biblia na Kuran hiyo hiyo au mimi sioni nje?..
I mean wao wameweza vipi kuwa na elimu kubwa ya UUngu (imani) kwa kupitia vitabu hivyo hivyo ambavyo sisi sote tunavisoma!...Sasa kama sio tulivyo mkuu kuna jibu zaidi ya hilo, tulidanganywa kwa shanga na bado tunaendelea kudanganywa.
 
Mkuu Bob,

Maneno mazito sana haya, sasa swali ni kwa nini unayosema ni kila nchi ya Africa? Inasikitisha sana kwamba hakuna tofauti, mkuu katika safari za maihsa niliwahi kufika nchi moja inaitwa Equatorial Guinnea,

Yaani bro, kama unafikri bongo noma basi hujaona kitu, kuna bara bara moja tu ya lami uchwara toka Airport, kwenda kwa rais basi, humu njiani watu wanauza mpaka vichwa vya watu, mikono na miguu ya watu, yaani mkuu afadhali bongo tuna nafuu.

Sasa miaka karibu 50 ya uhuru toka kwa wazungu, kweli watu bado tunauzana njiani wewe huoni kuwa bado tuko mbali sana na hakuna mwanga kabisa huko mbele?

Duh! sasa hii noma.....kwa kweli itabidi nibadili msemo....Miafrika Sivyo Tulivyo.....bwahahahahahahaaaaa
 
Kwanza hii mambo ya dini wakati mwingine hatuelewi kabisa, mie nimeona wazee wa kanisa na wachungaji wana maisha magumu hata kujaribu kitu kingine hawafanyi eti dini inakataa, subiri, nimetoka nje kidogo hao waliotuletea dini kwetu wana mabiashara na hata maskendo ambayo wanafungwa, where do we go wrong?????
 
Masanja naona umeamua kujifanya hukuelewa nilichosema. Pengine hujashtukia; ulitoka nje ya mada ukamlengeshea makombora yeye kama kutaka kumvua nguo vile.

.

Shukran Mkuu...Lakini kama kawa unaona hakuna mwingine aliyeona hiyo..Na wengine kudai sijui mambo ya kubalehe...Hapa ni hoja kwa hoja na ukileta kujuwa na wengine nao wanajuwa cha kusema.
Kama mwana jf yoyote akitaka mjadala wa kistaaarabu basi tunaenda kistaarabu.
Ame instigate akaongea mambo ya ajabu lakini mijitu mingine mizima HOVYO TU!
 
Hakuna aliyonionyesha relevance wala materiality ya usemi wa Nyani...Nyani wewe ni nyani na ndivyo ulivyo..Mimi sivyo.
Jmushi1
 
Oops...Nimesahau...Mc Cain...Nyani mweupe ndivyo ulivyo?
 
Hakuna aliyonionyesha relevance wala materiality ya usemi wa Nyani...Nyani wewe ni nyani na ndivyo ulivyo..Mimi sivyo.
Jmushi1

Wewe Ndivyo Ulivyo kama Miafrika mingine. You're just in denial young man...
 
Mkuu Bob,

Maneno mazito sana haya, sasa swali ni kwa nini unayosema ni kila nchi ya Africa? Inasikitisha sana kwamba hakuna tofauti, mkuu katika safari za maihsa niliwahi kufika nchi moja inaitwa Equatorial Guinnea,

Yaani bro, kama unafikri bongo noma basi hujaona kitu, kuna bara bara moja tu ya lami uchwara toka Airport, kwenda kwa rais basi, humu njiani watu wanauza mpaka vichwa vya watu, mikono na miguu ya watu, yaani mkuu afadhali bongo tuna nafuu.

Sasa miaka karibu 50 ya uhuru toka kwa wazungu, kweli watu bado tunauzana njiani wewe huoni kuwa bado tuko mbali sana na hakuna mwanga kabisa huko mbele?

Duh! sasa hii noma.....kwa kweli itabidi nibadili msemo....Miafrika Sivyo Tulivyo.....bwahahahahahahaaaaa
Hiyo quote bado ni kichekesho.

Freud would say racial self hate is the highest form of self loathing, low self esteem and subconcious nihilistic wussyness ever.

Sentensi yoyote inayoanza kwa kusema watu fulani wako hivi, unless inaongelea a minute group, inajifunga yenyewe kutokana na diversity ya watu. Hizo tabia zinazodaiwa kuleta feelings za "Waafrika Ndivyo Tulivyo" ziko dunia nzima, na kuna Waafrika wengine hawana tabia fulani zilizomo katika kundi hilo. Kwa hiyo at best ni some simplistic chicanery coupled with the most laughable -sad but still despicably laughable- nincompoopery you ever heard!
Sure, there is something common about these statements below:
  • Miafrika Ndivyo Tulivyo!
  • Viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe
  • Miafrika Sivyo Tulivyo
"In union there is strength" - Author Aesop's Fables.

Isipokuwa kwa sisi Tanzania tu.
 
FMES, MCHUNGAJI NA BOB heshima mbele,

Hapa naamini kila mtu ana namna anavyotaka kuuangalia na kuuchanganua ukweli. Kwa mtizamo wangu, Africa bado tupo kwenye giza totoro kwa sababu hatujui tuanzie wapi kujikomboa. Tumejaribu sera za magharibi (ubepari)tukashindwa, tukajaribu za mashariki (Ujamaa) kila mtu anayaona matokeo, tumejaribu za ndani (Mugabe) kila mtu anajua yaliyo Zimbabwe sasa.... What I see here, tulifuata hizi sera kutatua matatizo yetu, lakini hatukufuata masharti. Huwezi kwenda Hospitali Daktari akakuandikia panadol akakwambia usinywe pombe..harafu ukanywa na baadaye ukasema panadol haifanyi kazi..maana ilitaka kuniua. Kama ulitaka Panadol ni sharti ufuate masharti ya kunywa panadol. Africa tunapenda short cut. Unapenda sera za ubepari wakati masharti ya ubepari Unasema ni unyama hayatekelezeki! SASA WHAT ARE YOU DOING THEN?

Kikwete anaenda UN anasema nchi tajiri wana "historical duty" (sic) ya kutupa misaada, lakini huyo huyo Kikwete akiambiwa atoe accountability ya hiyo pesa..anasema tunaonewa au tunaingiliwa na mabepari!. Jamani uliona wapi..mtu unapewa hela bila kuitolea maelezo? Au wazungu hiyo hela wanaichuma kwenye miti kama embe dodo za mwituni? Only in Africa

Mtu akisema kwamba sisi ndivyo tulivyo kama waafrika, haimanishi kwamba all Africans ni lost case. Hapana. FMES katoa mfano mzuri wa Guinea, ni nchi tajiri sana hapa Africa lakini Nguema anaiendesha kama Kampuni yake binafsi. Siyo Guinea tuu njoo Chad, njoo CAR, Sudan, Congo, just name it..and ofcourse Tanzania. Kipi kimetushinda kujikwamua? Wakati watu wamekalia utajiri wa kufa?

Viongozi wetu wamejaa unafiki sana. LAKINI JE, SISI SIO WANAFIKI? Kila raia anapenda "ready made" wengine wahangaike yeye aje kufaidi. Kwa Africa hilo haliwezekani! Ndo maana mpaka leo Mgabe na Mseveni wanakwambia "go hang..where were you when we were fighting in the bush?" Ukombozi wa Africa ni joint-all inclusive project ya waafrika wote.

Ni aibu kila siku sisi wananchi wa AFRICA KULALAMIKA kwamba viongozi ni wala rushwa wakati kila baada ya miaka mitano tunawaandikia blank chek ya madaraka. Ni uendawazimu huo. Kwani hatuoni? Yes VIONGOZI WETU NI REFLECTION YETU!

What I see:

1. Wananchi tuamke, we should take our civic responsibilities seriously. (Kama kupiga kura na kuwachagua viongozi)
2. Tuache kulalamika tujue kwamba we are weak, poor, impovershed and miserable and as such we need to liberate ourselves from these chains of poverty by humbling ourselves to the reality check.
3. Viongozi hawatatuletea maendeleo kamwe, ila wanaweza kutunga na kusimamia sera ambazo tunaweza kuzifuata tukapata maendeleo.
4. Tuwawajibishe viongozi wanaoshindwa kutekeleza wajibu wao. Kama kutowachagua tena.
5. Kila mtu ajue anawajibu wa kuijenga nchi yetu. Tuache politics za opportunistic kama hizi za kufungua matawi ya vyama ughaibuni kwa ajili ya kujijengea umaarufu. Maana mlioko njee tunaamini mmepata "enlightment" ambayo mnaweza kutusaidia kimawazo..sasa na nyinyi mkiwa kama akina Makamba hapa..inatuogopesha sana..
6. Tuwe active kwenye asasi za kiraia kuweka presha kwenye serikali itimize wajibu wake.
7. Tutambue kwamba popote duniani ambapo democrasia ya kweli imeshamiri especially huko ulaya na US..mapinduzi yaliletwa na WANANCHI. Kamwe watawala hawawezi kuleta mabadiliko ya kweli. Kwa sababu ya kulinda status quo.
8. Na mwisho tuadmit, Africa is no Europe au USA..it will take painful measures and sacrifice to be where we all dream to be. tutakutana na madhira mengi, viongozi bado ni madikteta..nk..Lakini ukilijua hili utalikabili.
9. Tuwape moyo wale wanaohangaikia mabadiliko ya kweli kuliko kuwasimanga na kuwaona hawafai...hata kama huwezi..basi kaa kimya wenye moyo watakuwakilisha.

Na mwisho tuache superiority complex. Kwa vile umesoma unaweza kubonyeza keyborad, kuongea kiingereza kizuri kuliko malikia, usijione kwamba you are better than your fellow Africans. .usijione bora wakati ndugu zako wengi wako kwenye lindi la umaskini. Ni vema kucerebrate achievements za mtu binafsi, lakini mafanikio yako hayatakuwa na maana kama ukitoka likizo DC, Tokyo, Dar kwenda Kasulu kumuona mzee, baba yako hata choo cha shimo hana! Ni aibu.
 
Hiyo quote bado ni kichekesho.

Sure, there is something common about these statements below:
  • Miafrika Ndivyo Tulivyo!
  • Viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe
  • Miafrika Sivyo Tulivyo

Miafrika Ndivyo Tulivyo. Mwisho wa habari.
Kila siku miraisi ya Afrika iko majuu kuomba misaada ya maendeleo. Wake wa viongozi wanakuja Marekani kujifungua....ili watoto wao wawe na uraia wa Marekani....if you double dare me I'll put them on blast....
 
Hii kali!
uraia wa marekani ili iweje?..kama hii ni kweli basi tumebakiza nini maana kama hatuna kitu basi hata utu? Can our leaders stoop this low???
 
Wake wa viongozi wanakuja Marekani kujifungua....ili watoto wao wawe na uraia wa Marekani....

Mkuu Nyani,

Heshima mbele, hapo umesahau hasa Canada mkuu na pia huwa sometimes wake au mahawara na watoto zao wanakwenda huko majuu kufanya arbotion tu kwa hela zetu walipa kodi, that is wasup!
 
Hii kali!
uraia wa marekani ili iweje?..kama hii ni kweli basi tumebakiza nini maana kama hatuna kitu basi hata utu? Can our leaders stoop this low???

Hii sio kama ni kweli. Hii ni kweli na haki ya nani mashetani yakinipanda nitaweka majina yao hapa halafu nione atakayekuwa na nyodo kubisha na hapo ndio watu watakapoumbuliwa bila huruma yoyote....
 
Back
Top Bottom