Rev. Kishoka,
Nimekusikia mkuu kwa hivi visa.. lakini mkuu hiki cha pili kimekaa vibaya sana maanake kinaonyesha nukuu ya Biblia kiasi kwamba inanipa wasiwasi na huyu Padre aliyekufundisha. Imekuwa sio kisa tena ila ni UKWELI kutoka ktk Biblia jambo ambalo naona huyu kiongozi amepotoka.
Nini Ukweli wa sisi binadamu kuwa na rangi tofauti?...
Ukweli ni kwamba kama Mungu angetuumba sisi wote Wachina basi ingekuwa sii rahisi kwetu kufahamiana, kutambuana..Ni katika misahafu tunaambiwa Mwenyezi Mungu alituumba kwa rangi tofauti, sura tofauti, urefu tofauti na kadhalika ili sisi tuweze kutambuana...
Na uhakika wa hili tunaupata ktk wanasayansi ama Wanyama ambo tumeona wakiwekwa alama za mihuri ama kamba miguuni, masikioni na kadhalika ili tupate kuwatofautisha..
Pamoja na yote hayo NDIVYO TULIVYO bado imesimama pale pale na hakiika kuwepo kwetu hapa kijiweni, kukataa kwa Pundit na wenzake ni mwanzo mzuri sana kwetu kuweza kutazama hata upande huo laa sivyo tungefahamu vipi kuwa sisi Waafrika ndivyo tulivyo! - Kila siku tutaendelea kumlaumu Mungu hadi lini? when tutaweza kusimama kwa miguu yetu wenyewe na kuachana na magongo ambayo yametulemaza ktk utumwa..
Mkuu hadi leo hii Nchi zote za Afrika zinaendeshwa kibiashara na watu kutoka nje!..Watawala wote Afrika ni Minyapala ya mashirika ama nchi za Ulaya. Tunalionda maslahi yao kwa kila hali...
Tazama Kenya, Kenyatta baada ya kupigana na Muingereza kwa miaka, alipopata Uhuru kitu cha kwanza ni kuweka mkataba na Uingereza kibiashara. kenya aliyoikuta toka Ukoloni imebakia pale pale! Tazama Mugabe miaka yote alikuwa na Muingereza hadi tunu alitunukiwa, siku Masters wake walimwona amechoka na kutaka kumbadilisha mtu ndipo aliposhtuka!.
JMushi1,
Mkuu kuhusiana na Al Fayed hayo mawazo ni mawazo ya Masanja nadhani ingekuwa bora ulielekeze swali kwake kwa sababu naweza kujibu asivyokusudia..
Mimi nimewataja kina Patel ili upate kuona kwamba bado hadi leo hii tunawatumikia Masters..babu zetu walinunuliwa kwa shanga na wakaingizwa ktk Utumwa, sisi leo hii tumenunuliwa pia hivyo tumo ktk utumwa mamboleo na hawa viongozi wetu ni manyapalka sawasawa na yule Tipu Tippu alokusanya watumwa ndugu zake na kuwauza kwa waarabu... Kwa mtazamo wake he did nothing wrong na ndivyo viongozi wetu leo hii hawaoni makosa yao kuuza nchi yao..
Mpita Njia kanipa moja safi sana.. Kama kweli mnakataa kuwa sivyo tulivyo itakuwa vizuri sana kama mtatueleza tuko vipi?..hiyo sivyo tulivyo inaunganishwa na matendo yapi tofauti na haya tuliyoyazungumza humu.

..Mkandara nina swali kwako...Umewataja kina Patel nk....Je kina Patel na wao ndiyo miafrika jinsi ilivyo?
Kwa mfano hapo chini Masanja kadai waafrika dunia pote wana attribute ya umasikini...Unamjuwa Al Fayed wewe?
Vipi kuhusu wenye vijisenti?