Tanzania: Quotes & Our National Politics!

Hii sio kama ni kweli. Hii ni kweli na haki ya nani mashetani yakinipanda nitaweka majina yao hapa halafu nione atakayekuwa na nyodo kubisha na hapo ndio watu watakapoumbuliwa bila huruma yoyote....

Hebu waanike hao malimbukeni!
Kwako ni kwako tu hata kama ni kubaya! Kwenda kuzalia marekani kisa mtoto apate uraia mbona si kitu cha kujivunia kiivo?..si wacheze green card tu kama ishu ni kwenda kuishi huko...
 
Masanja,
Mkuu hayo maneno mazito sana naUhakika tunazidi kuupata humu humu kuwa - NDIVYO TULIVYO. Meaning nilitegemea Waafrika wenzangu watakataa ukweli huu kwa sababu Ndivyo tulivyo!..
Ndivyo tulivyo, kupinga ukweli unaotuhusu na mara nyingi kutafuta visingizio nje ya sisi wenyewe. Hii imetokea toka Utumwa , Ukoloni na hata baada ya Uhuru. Ni vitabui vingapi vimeandikwa kuhusiana na Ukoloni au Ukoloni mambo leo?...Talk the Talk, utafikiri tulipata jibu la kujikomboa.. Lakini wapi ndio kwanza tunarudi kule kule ktk kutawaliwa na mijiafrika mingine iliyotafuta Uhuru ili ipate kutawala yenyewe!..

Nyani Ngabu,
Muu huwezi kubadilisha mawazo ya mwafrika ambaye ndivyo alivyo kwa sababu kukataa hoja kama hii ni ishara kubwa ya Ndivyo Tulivyo...Kama angeambiwa mtu wa mataifa mengine asingepinga wala kusingekuwepo na uwezekano wa ku raise hoja yenyewe.
Sasa hivi tunavyozungumza kuna Wabunge na Watanzania kibao wamelazwa hospital ya Appolo huko New delhi India wakitibiwa. Mlazi ya chumba kimoja ni dollar 700 kwa siku moja, gharama hiyo mbali kabisa na matibabu yenyewe..Wapo wagonjwa kibao...

Now, jiulize imekuwaje tushindwe kujenga Hospital yenye vifaa kama hiyo ya India hapa nchini?....Tena madai yao India matibabu ni rahisi kuliko nchi nyingine... NCHI NYINGINE!!!! Ukizungumzia kitu chochote kile watu huangalia nje ya Tanzania kupima gharama au maendeleo...
Kwa nini mifano hiyo tusifikirie Tanzania kama nchi iwe nchi nyingine!... NDIVYO TULIVYO....
 
Hali halisi tuliyonayo inawasuta wanaokataa Ndivyo Tulivyo. Hawataki kumeza majivuno yao na kukubali pungufu hilo. Kinachochekesha zaidi ni kwamba wanakataa Ndivyo Tulivyo huku wakiwa majuu kwa wazungu wakila kuku kwa mrija. Warudi basi Afrika wakatuonyeshe kwa vitendo kuwa Sivyo Tulivyo.
 
Hii kwa capita income inakuwa misleading hasa ukiangalia actuality, kwa sababu nchi inavyokuwa ndogo inapewa per capital kubwa kulinganisha na nchi kubwa ambayo inagawanywa kwa idadi ya watu wote. kuna figure zingine ziko sawa kabisa lakini nchi zingine ukiambiwa per capital yao ukaona na maisha halisi unatoka baruti unarudi bongo.

Statistician: A man who believes figures don't lie, but admits that under analysis some of them won't stand up either.
- Evan Esar
 
Today's public figures can no longer write their own speeches or books, and there is some evidence that they can't read them either.
- Gore Vidal
hii inamfaa "chifu"
 
"Why are we, as societies, creating a world that we, as individuals, abhor?" - Author Unknown.

Sounds familiar?
 
"A foolish consistency is the hobgoblin of little minds," Ralph Waldo Emerson.

Kikwete is a little mind of its kind. Keshokutwa ataamini alichokiamini juzi hata kama circumstances za kesho zitatakuwa tofauti na zile za jana. And it really scares me that he's my President.
 
"Why are we, as societies, creating a world that we, as individuals, abhor?" - Author Unknown.

Sounds familiar?

Coz we're just bunch of pyschos. Mkuu, you know how difficult it is for just two pyschos to live together harmoniously. Then think of ten thousands of them living together as a society or whatever? It gonna be abhoring. I mean definetely.
 
"Living democracy is always evolving, as citizens use their voices and values to shape public choices." - Author Linda Schrist.

Hivi ndvyo inavyotakiwa kuwa katika nchi yoyote yenye demokrasia ya kweli, lakini sisi tumeishusha demokrasia kufikia level ya kuhusu ruzuku tu kwa vyama vyetu vya siasa.
 
Mkuu wangu FMES,

Hivi unajua, at times I strongly feel...Hii westphalian democracy tuliyoiga magharibi haitufai kabisa. Labda tutafute mkondo mwingine. Maana kama baada ya nusu karne we have failed to implement what we copied, sasa tufanyeje? Jiulize siku hizi viongozi wanaitisha uchaguzi kwa mbwembwe nyingi, incumbent wanaiba kura...kwa nguvu na baraka za vyombo vya dola...then wanakwambia njoo tuzungumzie power sharing! Kifupi ukaongee na kujadiliana na mbaya wako. Alianza Kibaki, kaja Mugabe who is next? Definetely hii trend itaendelea na hii aina ya "demokrasia" Inapata support sana kwa viongozi wa kiafrika "kwa ajili ya kuepusha maafa". sasa Mkuu wangu..where are we going kweli? MIMI NADHANI AFRICA INABIDI TURUDI KWENYE DRAWING BOARD.

We are neither democrats after six decades nor completely outcasts. Though we are heading in the hole.

Hapana mimi nadhani hii aina ya democrasia ya wenzetu inatupoteza. Masharti yake hatuyawezi! Kweli kabisa.
 
Masanja,
Mkuu hizi habari za Power sharing kwa mtindo tuliouona zipo Afrika tu. Nchi za mgharibi Ukishindwa umeshindwa!... Powersharing iliwekwa kwa nchi ambazo kwanza mshindi amekosekana kati ya pande mbili, halafu pili imeshindikana kabisa kuwepo na Amani, hakuna suluhu kati ya pande mbili zinazopingana kiasi kwamba hata kura haziwezi kupigwa kwa amani..
Sidhani kabisa kuna Powersharing ambayo mshindi kapatikana halafu mtu mmoja amekataa ama kubadilisha matokeo..Yote haya ya mbwembwe yanatokana na viongozi wetu kujiona wao ni MIUNGU WATU.. sisi wananchi maskini ndio tunawahitaji wao badala ya wao kuwa ndio walioleta Posa..
 
Kuambizana kuko kusikilizana hapana.
Giving advice but no one listens.

Kwanini Hamna mabadiliko? Tunaona mada mbalimbali zikijadiliwa bungeni na kwenye semina kibao kila kukicha lakini utekelezaji bado ni ndoto.

Je bunge letu lipo kwa ajili ya kuambizana tu kupitisha muda na kula night allowance?

wahusika wajaribu kuwa against this ili basi tuone changes vinginevyo ....

Tutapoteza dira.
 
Mchuma janga hula na wakwao.

He who earns calamity,eats it with his family.

Huu msemo kaka umeweka vice versa makusudi au? mi niiweke hivi If u can't beat em' join em' kwa maana rais Kikwete ameshindwa kupambana na mafisadi akaamua kujiunga nao, au alikuwa nao tangu mwanzo?
 
Hivi unajua, at times I strongly feel...Hii westphalian democracy tuliyoiga magharibi haitufai kabisa. Labda tutafute mkondo mwingine. Maana kama baada ya nusu karne we have failed to implement what we copied, sasa tufanyeje? Jiulize siku hizi viongozi wanaitisha uchaguzi kwa mbwembwe nyingi, incumbent wanaiba kura...kwa nguvu na baraka za vyombo vya dola...then wanakwambia njoo tuzungumzie power sharing! Kifupi ukaongee na kujadiliana na mbaya wako. Alianza Kibaki, kaja Mugabe who is next? Definetely hii trend itaendelea na hii aina ya "demokrasia" Inapata support sana kwa viongozi wa kiafrika "kwa ajili ya kuepusha maafa". sasa Mkuu wangu..where are we going kweli? MIMI NADHANI AFRICA INABIDI TURUDI KWENYE DRAWING BOARD.

We are neither democrats after six decades nor completely outcasts. Though we are heading in the hole.

Hapana mimi nadhani hii aina ya democrasia ya wenzetu inatupoteza. Masharti yake hatuyawezi! Kweli kabisa.

Mkuu Masanja,

Maneno yako mazito sana, na sina hata cha kuongeza maana hapo tupo ukurasa mmoja, mimi nguvu ziliiniisha sana kwenye mfano wa Chiluba, kwa sababu huyu alipokuwa kiongozi wa Unions za wachimba madini kule Zambia, he was so tough kwa Kaunda kwamba binafsi nilikuwa ninamuaminia sana kwamba atakuja kufanya maajabu, lakini baada ya aliyoyafanya ya hata kujaribu kujiongezea muda wa utawala uwe vipindi vitatu, basi nikakata tamaa na Africa kuhusu Demokrasia,

Demokrasia ya West sio ile original ya The Greeks, meaning kwamba hata The West nao waliipokea ile Greek's raw democracy na kui-modify ili ikidhi mahitaji yao ndio wakaweza kuwa na hii waliyonayo sasa, ambayo briefly ni a learned art yenye utamaduni wa kubadilika na set of qualities ambazo zina permeate na kujitengenezea njia za kujizawadia katika uhai wake. Na pia its values of inclusion, fairness and mutual accountability naturally infuse not only political life, but economic and cultural life as well. Halafu wananchi wana-set the rules ili ku-keep wealth continually circulating huku wakiukinga sana ili influence zake zisiwemo kwenye siasa, ingawa sio rahisi lakini wanajaribu hasa kwa kuwa on top katika kusimamia sheria zao, na ni hapa kwenye uzembe wa kusimamia sheria zao ndipo yamewakuta matatizo makubwa ya kiuchumi hivi karibuni, matatizo ambayo sisi Africa ni ya kawaida kwa sababu hatuzingatii sheria hata siku moja,

- Sasa kama The West wamezembea kidogo tu ku-regulate sheria zao za uchumi, yamewakuta makubwa namna hiyo imagine sisi ambao hatujawahi hata siku moja kusimamia sheria zetu kwa 100% tumekutwa na matatizo ya aina gani since our independence? Sasa nimeona wananchi wengi hapa wakilaani financial system hizo za West kutokana na matatizo yaliyowakumba sasa hivi, which I find to be out of touch with reality kwa sababu nilifkiri kwamba tunahitaji ku-celebrate capitalism kwa vile kwenye haya matatizo ya sasa imeonyesha ni kwa nini inatawala dunia nzima na itatawala kwa muda mrefu sana to come ni kwa kuwa ina a strong built in emergency system (ES) ambayo wakati wa good times ina-pump kodi isiyokuwa na mfano kwa serikali, ambayo wakati kama huu ndio inatakiwa kui-bail out kama vile US ambako serikali imetumia kodi karibu Dola Billioni 700, na UK karibu Dola Billioni 70 sasa kwa nini tusiheshimu kwamba hiyo system ya utawala inaweza kutoa hela zote hizo kuuuokoa uchumi wake yenyewe bila ku-collapse au kujipelekea to the ground!

Tizama Switzerland, wao pia walii-modify Demokrasia ili ikidhi mahitaji na matakwa yao as a nation, wao wakaamua kutokuwa na permanent president, kuna baraza la wawakilishi ambalo wajumbe hupokezana urais, ambao literally ni ceremonial position tu kwa ajili hasa ya ku-deal na international issues, lakini otherwise maamuzi yote ya taifa hufanywa collectivelly na baraza hilo la wawakilishi ambao huridhia only matakwa ya wananchi through referendums ambazo huko kwao ni kitu cha kawaida almost kila siku. It is good na it is working kwa mahitaji yao tu na unaweza kuiita anything lakini at heart ni modification ya demokrasia ambayo sisi Africa imetushinda kabisaa!

Africa, hata pa kuanzia na kuishia sijui ni wapi, ukiangalia kina Mugabe, Mbeki hawa ni viongozi walioingia wakakuta kila kitu in place kama inavyotakiwa, binadam mstaarabu siku zote huacha mahali alipoingia pakiwa pema kuliko alivyopakuta, sasa niambie utawaitaje hawa waa-Afrca wenzetu? Hawa ndio waliopaswa kuwa mfano wa kuigwa na Africa nzima lakini look what they did! Africa tumeruhusu ukabila, udini na utamaduni wa kizamani kuwa ndio our source of strength and wisdom katika kuongozana, mimi nawajua viongozi wengi katika taifa letu wanaoamini kuwa uongozi wao ni wa kupewa na Mungu, infact wengi wao wanaamini kuwa wao ni sometype of wafalme, kwa hiyo hata tabia zao ni za kifalme falme, I mean rais Nixon alipojiuzulu urais wa US kwa kuwa corrupted na a crook, aliliomba msamaha taifa lake tena sincererily, sio kama kina Lowassa, ambao ndio kwanza wanaenda "kujipokea wenyewe" kwenye majimbo yao ya ubunge, na mpaka leo hajatuomba radhi wananchi kwa kutulaza giza bila umeme, huku akichota Dola laki moja na nusu kila siku ya Mungu, ndio kwanza bado anadai ana haki zake kisheria kuwa eti hazikuheshimiwa,

Huko US kuna scientific studies zimewahi kufanywa ili kujua kwa nini among marais wengi wa huko in history, Nixon was the most corrupted kuliko wengine wote? Guess what? One study ingawa matokeo yake ni debatable, waligundua kua Nixon alikuwa anatokea kwenye background ya kimasikini sana kulinganisha na marais wengine wa taifa hilo kwa hiyo wakadai kuwa huenda hapo kuna relativism between umasikini na political corruption, sasa as much ninataka ku-argue against the finding ya hii study, mazingara ya uongozi wa Africa licha ya taifa langu Tanzania yananisuta sana kwenye hilo!

Ahsante Wakuu! na Mungu Aibariki Africa!
 
Field Marshll Es,
Tunarudi palepale naposema kila siku Kuwa kila kitu unachojaribu ku apply ni lazima utazame kwanza Watu na Mazingira yake..
Sisi kama kawaida yetu tunaiga tu kila kitu bila hata kufanya marekebisho yanayolingana nasi. Fikiria hata miti inayopandwa nchini ni ile ya Ulaya ambayo inahitaji maji mengi sana, na haiwezi kukabiri joto la muda mrefu. Ukienda Ulaya miti hii haimwagiliwi maji kutokana na mazingira yao kwani mvua za spring tu hutosha kufufua mimea yao na mvua za fall huiwezesha mizizi kuweka maji tosha kwa ajili ya miezi mitatu ya winter..Hawapandi muninga (mahogony) hata kama wanauhitaji kiasi gani kwa sababu wanajua hauwezi kustawi.
Sasa njoo Bongo utazame hata majani yanashindwa kubakia green pamoja na kuwagiliwa maji kila siku baada ya kupandwa, hizo mbegu ziliagizwa toka Ulaya na hakuna hata siku moja wataalam wetu wamekaa kujaribu kutumia utaalam wao kuboresha mbegu hizo ziweze kukabiri hali na mazingira ya Afrika. Acha hivyo tunayo mimea yetu kibao ambayo inaweza kuoteshwa na ikastawi vizuri lakini kama kawaida yetu haifai na sababu moja kubwa - Haifanani na ile ya Ulaya...
Tunaiga mengi....
 
Mkandara, ni kitu kibaya sana kukataa tamaa. Lakini ukiiangalia Africa nafsi yako inakusuta mwenyewe. Personally sitegemei miracles kwa JK au kiongozi yeyote yule, lakini kuna vitu basic ambavyo ungetegemea kama kiongozi avifanye. Africa tumefikia point kwamba viongozi/watawala wanapokezana vijiti vya kuiba! Swala la demokrasia naamini kabisa Africa hatuliwezi kwa sababu hatupendi kuwa accountable..not only to our people, but even to ourselves. Leo unaomba hela USA au Europe kama msaada..kesho ukiambiwa ulete mahesabu ulivyozitumia..unasema unaingiliwa uhuru! So from my view, tutafute system inayoendana na mazingira yetu. Hii demokrasia ya magharibi inataka watu wawe wawazi. Ndo maana leo kulala na mwanamke (kimada) au kutumia hela ya walipa kodi kwa matumizi binafsi inaweza kukucost kazi yako! Ndo misingi ambayo wamekubaliana. Ukienda nje ya hapo..wewe hufai!

FMES

Umetoa darasa maridadi kabisa mkuu wangu hapo juu. Exactly watu wanaulaumu ubepari lakini wanashidwa kujua kwamba hakuna system iliyokamilifu. As long as imetengenezwa na binadamu. Mimi ukiniuliza nitakwamba CAPITALISM HAS NOT FAILED. KWA NINI? Hebu tuangalie mazuri ya mfumo wa kibepari, naamini kila kitu unapima ubaya au uzuri wake kwa kuangalia hali halisi ya maisha ya kila siku.

Ukiangalia ubepari kwa kiasi kikubwa umefanikiwa kubadilisha maisha ya wananchi katika hizi nchi yakawa mazuri (ofcourse siyo wote) lakini mfumo umejenga kundi kubwa la tabaka la kati. Kama FMES alivyosema, ni mfumo ambao leo umeweza kujikomboa wenyewe bila kuanguka baada ya kupata matatizo ya kipesa. Hatuwezi kusimama leo na kuubeza ubepari bila kutoa njia mbadala ambayo itakuwa bora kuliko ubepari. US walimwambia Urusi..Communism has no place katika ulimwengu wetu wa leo na kweli communism ilikufa na ubepari ukashinda...waliubeza ukomunist wakati wakitoa njia mbadala..sisi tumeshindwa. Tumebaki kuhubiri maandishi ya akina Karl marx, Walter Rodney nk. This cant help us.

Wengi tunaoubeza ubepari na kuuita unyama tumeshindwa kuja na njia mbadala kuhalalisha usemi wetu. Nyerere alikuwa na ujamaa..lakini ulishindwa na mzee mwenyewe akakubali kwamba nimeshindwa. Perhaps kama wakuu walivyosema humu..tunaweza kuuchukua huo huo ubepari na kuubadilisha uendane na mazingira ya maisha yetu.

Nchi za magharibi zinafanikiwa kwa sababu ziko FLEXIBLE katika kufikiri na maamuzi. wanajua na wanaamini katika FREE MARKET lakini haikuwazuia kutoa billions of $$ kurescue mabenki yao walipogundua kwamba ndiyo njia pekee ya kuepusha balaa la kufilisika. Sasa basi hata sisi tunaweza kuamua kwamba serikali ijitoe kwenye kuendesha biashara na makampuni na mashirika yote vibinafsishwe. Lakini kwa kutumia akili yetu na mazingira (kama Bush na wenzake walivyotumia akili ku-bail out mabenk) tukaamua kwamba kuna mashirika ambayo ndo uhai wa taifa kwa hiyo tusiyabinafshe..kama Tanesco nk) na badala yake tukaze nati dhidi ya watendaji! hiyo ndiyo flexibility inayotakiwa.

All in all, kama wakuu mlivyosema hapa. Sisi kila kitu tunaiga. Wengine kwa chiki na wivu tunabaki kulaumu bila kutoa njia mbadala. Ndo maana nikiwaangalia watu kama akina Mugabe and co. nasikitika sana. Maana wao wameamua kulalamika tuu na kutukana at the expense of themselves and their people. No system is perfect but we can all use the very sytem we abhor and modify it for the good of our people.

Mwisho nasema, Afrika bila utawala wa SHERIA hatuwezi kufika popote. Not even total debt cancellation will make a difference in our lives. Never.
 
Mkuu Masanja,

Maneno yako mazito sana, na sina hata cha kuongeza maana hapo tupo ukurasa mmoja, mimi nguvu ziliiniisha sana kwenye mfano wa Chiluba, kwa sababu huyu alipokuwa kiongozi wa Unions za wachimba madini kule Zambia, he was so tough kwa Kaunda kwamba binafsi nilikuwa ninamuaminia sana kwamba atakuja kufanya maajabu, lakini baada ya aliyoyafanya ya hata kujaribu kujiongezea muda wa utawala uwe vipindi vitatu, basi nikakata tamaa na Africa kuhusu Demokrasia,

Demokrasia ya West sio ile original ya The Greeks, meaning kwamba hata The West nao waliipokea ile Greek's raw democracy na kui-modify ili ikidhi mahitaji yao ndio wakaweza kuwa na hii waliyonayo sasa, ambayo briefly ni a learned art yenye utamaduni wa kubadilika na set of qualities ambazo zina permeate na kujitengenezea njia za kujizawadia katika uhai wake. Na pia its values of inclusion, fairness and mutual accountability naturally infuse not only political life, but economic and cultural life as well. Halafu wananchi wana-set the rules ili ku-keep wealth continually circulating huku wakiukinga sana ili influence zake zisiwemo kwenye siasa, ingawa sio rahisi lakini wanajaribu hasa kwa kuwa on top katika kusimamia sheria zao, na ni hapa kwenye uzembe wa kusimamia sheria zao ndipo yamewakuta matatizo makubwa ya kiuchumi hivi karibuni, matatizo ambayo sisi Africa ni ya kawaida kwa sababu hatuzingatii sheria hata siku moja,

- Sasa kama The West wamezembea kidogo tu ku-regulate sheria zao za uchumi, yamewakuta makubwa namna hiyo imagine sisi ambao hatujawahi hata siku moja kusimamia sheria zetu kwa 100% tumekutwa na matatizo ya aina gani since our independence? Sasa nimeona wananchi wengi hapa wakilaani financial system hizo za West kutokana na matatizo yaliyowakumba sasa hivi, which I find to be out of touch with reality kwa sababu nilifkiri kwamba tunahitaji ku-celebrate capitalism kwa vile kwenye haya matatizo ya sasa imeonyesha ni kwa nini inatawala dunia nzima na itatawala kwa muda mrefu sana to come ni kwa kuwa ina a strong built in emergency system (ES) ambayo wakati wa good times ina-pump kodi isiyokuwa na mfano kwa serikali, ambayo wakati kama huu ndio inatakiwa kui-bail out kama vile US ambako serikali imetumia kodi karibu Dola Billioni 700, na UK karibu Dola Billioni 70 sasa kwa nini tusiheshimu kwamba hiyo system ya utawala inaweza kutoa hela zote hizo kuuuokoa uchumi wake yenyewe bila ku-collapse au kujipelekea to the ground!

Tizama Switzerland, wao pia walii-modify Demokrasia ili ikidhi mahitaji na matakwa yao as a nation, wao wakaamua kutokuwa na permanent president, kuna baraza la wawakilishi ambalo wajumbe hupokezana urais, ambao literally ni ceremonial position tu kwa ajili hasa ya ku-deal na international issues, lakini otherwise maamuzi yote ya taifa hufanywa collectivelly na baraza hilo la wawakilishi ambao huridhia only matakwa ya wananchi through referendums ambazo huko kwao ni kitu cha kawaida almost kila siku. It is good na it is working kwa mahitaji yao tu na unaweza kuiita anything lakini at heart ni modification ya demokrasia ambayo sisi Africa imetushinda kabisaa!

Africa, hata pa kuanzia na kuishia sijui ni wapi, ukiangalia kina Mugabe, Mbeki hawa ni viongozi walioingia wakakuta kila kitu in place kama inavyotakiwa, binadam mstaarabu siku zote huacha mahali alipoingia pakiwa pema kuliko alivyopakuta, sasa niambie utawaitaje hawa waa-Afrca wenzetu? Hawa ndio waliopaswa kuwa mfano wa kuigwa na Africa nzima lakini look what they did! Africa tumeruhusu ukabila, udini na utamaduni wa kizamani kuwa ndio our source of strength and wisdom katika kuongozana, mimi nawajua viongozi wengi katika taifa letu wanaoamini kuwa uongozi wao ni wa kupewa na Mungu, infact wengi wao wanaamini kuwa wao ni sometype of wafalme, kwa hiyo hata tabia zao ni za kifalme falme, I mean rais Nixon alipojiuzulu urais wa US kwa kuwa corrupted na a crook, aliliomba msamaha taifa lake tena sincererily, sio kama kina Lowassa, ambao ndio kwanza wanaenda "kujipokea wenyewe" kwenye majimbo yao ya ubunge, na mpaka leo hajatuomba radhi wananchi kwa kutulaza giza bila umeme, huku akichota Dola laki moja na nusu kila siku ya Mungu, ndio kwanza bado anadai ana haki zake kisheria kuwa eti hazikuheshimiwa,

Huko US kuna scientific studies zimewahi kufanywa ili kujua kwa nini among marais wengi wa huko in history, Nixon was the most corrupted kuliko wengine wote? Guess what? One study ingawa matokeo yake ni debatable, waligundua kua Nixon alikuwa anatokea kwenye background ya kimasikini sana kulinganisha na marais wengine wa taifa hilo kwa hiyo wakadai kuwa huenda hapo kuna relativism between umasikini na political corruption, sasa as much ninataka ku-argue against the finding ya hii study, mazingara ya uongozi wa Africa licha ya taifa langu Tanzania yananisuta sana kwenye hilo!

Ahsante Wakuu! na Mungu Aibariki Africa!

Mkuu maneno ya kweli kabisa..Ila kwa kuongezea hapo kwenye kuhusu marais wa marekani...Ukweli ni kwamba Marais wote wa marekani wamegawanyika kwenye makundi mawili....Kwanza ni either wametokea kwenye familia matajiri na kama sivyo basi ni wanasheria.
Kwa upande wa Tanzania ni either mwalimu ama mwandishi wa habari..Na sasa tuna mwanajeshi na kada maarufu.
 
Masanja,
Mkuu maelezo yako yameniacha natetemeka...watu kama nyie mko wapi lakini?... Kwa nini mkuu usigombee Ubunge, ama kuyaweka mawazo kama haya ktk magazeti yetu makubwa kama hiyo Daima na kadhalika..
Mkuu tunakuhitaji sana!...

Field Marshall Es,
Makala hizi mbili yako na ya ndugu Masanja zinatakiwa kuwekwa mahala safi sana kuhifadhiwa na pengine zisukumwe ktk magazeti makubwa wananchi wapate kuzisoma..
Mkuu, binafsi nywele zimenisimama...Hizi ndizo huziita fikra mpya!
 
Back
Top Bottom