Tanzania Railways Corporation - Promote And Manage Rail Infrastructure Assets

Tanzania Railways Corporation - Promote And Manage Rail Infrastructure Assets

Nawaza kwamba kwa sababu treni hiyo ni ya KASI basi ni vema ukaangaliwa usalama hasa kwa mifugo ukizingatia spidi ya treni yenyewe.
Kuna sehemu maalum za mifugo kuvuka,pia njia nzima inawekwa fence.
 



Vijana wapo kazini.
Madaraja sehemu korofi ya Ruvu yamekamilika.
 




Morogoro - Makutopora progress
..... angalia Kilosa-Kidete mito inavyodhibitiwa.
 
1602623513338.png



 



Chuma kishanunuliwa hicho .... ... . Ding .... .. .Dong!
 
Ukarabati wa reli ya kutoka Dar es Salaam - Dodoma, kununua vichwa vipya vya treni 11 kutoka Marekani, mmekarabati mabehewa ya mizigo 347, hatukutafuta watu kutoka nje, wataalam wetu wa ndani

1603571531673.png


1603571565429.png


1603571614070.png



1603571665594.png
 
Back
Top Bottom