HERRED CHARLES
New Member
- Oct 24, 2021
- 1
- 0
Wakuu ni Nina Tsh million moja na ninapenda Sana kufanya hiashara ya phone accessories (kava za Simu,,chaja za kawaida na fast chaja,, flash ,,memory card,, na Simu ndogo ndogo ,,,mwenye uzoefu na hii biashara anipe uzoefu tàfadhari jinsi yakupata hizi bidhaa kwa Bei ya jumla na Bei yake n shingapi